CAF wakaza, Fainali ya pili kupigwa New Amaan Complex, Zanzibar Saa 10 Jioni

CAF wakaza, Fainali ya pili kupigwa New Amaan Complex, Zanzibar Saa 10 Jioni

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mchezo wa fainali ya pili ya Kombe la shirikisho barani Afrika (CAFCC) utapigwa uwanja wa New Amaan Complex, Visiwani Zanzibar, saa kumi jioni.

CAF wameshaanza kufanya branding ya uwanja wa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC.

1747661560092.png
 
Caf wanaongea kwa vitendo zaidi wanawashangaa wanaopima pitch kwa mikono wakati wao walituma team na koleo,toroli,sululu,pima maji,ndoo n.k
Game ni amani na ubao unasoma Barkane 3 kefa fc 0
 
Nashangaa sana watu wanaosema hivi wakati kuna matukio ambayo wengi tunaamini yapo kinyume cha dini yameshamiri huko
Kama? Yapi yapo huko ambayo hayapo huko kwenye dini? Kwako wewe dini ni nini labda?
 
Back
Top Bottom