ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 13,827
- 27,260
Marehemu alikua mtu mwema ndio haya sasa
Wafuasi wa manara wana akili basi?Sio kweli, simba imepata mafanikio makubwa kwa muda mfupi.. enyimba alishiriki caf mara yake ya kwanza alitolewa round ya kwanza.. msimu wa pili wake alioshiriki mara yake ya pili akaenda twaa ubingwa kabisa, na alivyorudi kushiriki msimu wa 3 akatwaa ubingwa tena..
Sasa huo muda mfupi wa simba ni upi ?
Wafuasi wa manara wana akili basi?
Horoya hawajaweleza hela nyingi nani kakudanganyaCaf ya sasa hivi rahisi kuliko ya zamani.. zamani kufika group stage tu ilikuwa uwe mwanaume kweli kweli.... maana group stage zilikuwa zinaingia timu 8 tu.. siku hizi group stage zinaingia timu 16..
Enyimba waliwekeza hela nyingii sana kutwaa ubingwa wa caf haraka haraka. Walijenga hadi uwanja wa gharama kuliko hata wa mazembe ama azam... enzi hizo waarabu kina zamalek, al ahly, esperence, es setif, waydad, raja casablanca walikuwa wa moto kweli kweli, huku kwa weusi kuna asec mimosas, mazembe,canon yaunde, asante kotoko etc, hapo jiulize makundi tu unafikaje katika nafasi 8 tu, na hapo hapo ukatwae ubingwa kabisa
Zama hizi hakuna wachezaji wa kiwango kama zamani kwa timu za africa zinazocheza caf maana ulaya wanaenda mapema , mfano aboutrika, zaki, enyeama, toure, etc etc walikuwa wana uwezo mkubwa sana na wanacheza caf na timu zao huku wana viwango vya ulaya tupu
Caf wamefanya mabadiliko mengi kwenye mashindano yao yote. Yamekuwa mepesi ndio maana hata Tanzania tunafuzu kucheza afcon zama hizi.... zamani wewe ulisikia wapi nchi kama Tanzania ama kenya na burundi zinafuzu afcon.
Kwanza hata kwa zama hizi horoya ana mafanikio ya haraka kuliko simba .. na horoya hawajawekeza hela nyingi kama simba .ila horoya anafika mbali kuliko simba karibu kila msimu
Horoya hawajaweleza hela nyingi nani kakudanganya
Misimu mitatu iliyopita Horoya na Simba wameshiriki mara 2 Simba ameenda robo fainali mara 2 horoya mara 1
Akili yao inaiashia Mwembechai.Simba haiwezi kuchukua ubingwa wakiwa na wachezaji wenye wastani wa miaka 40, Ila kwakua viongozi na baadhi ya mashabiki ni ma Mbumbumbu watendelea kuamini Bado kidogo watacheza nusu fainali ya Afrika, awajui umri wa ao wachezaji unazidi kuongezeka.
Kenya ilifuzu mwaka 1992 na 2004 mkuuCaf ya sasa hivi rahisi kuliko ya zamani.. zamani kufika group stage tu ilikuwa uwe mwanaume kweli kweli.... maana group stage zilikuwa zinaingia timu 8 tu.. siku hizi group stage zinaingia timu 16..
Enyimba waliwekeza hela nyingii sana kutwaa ubingwa wa caf haraka haraka. Walijenga hadi uwanja wa gharama kuliko hata wa mazembe ama azam... enzi hizo waarabu kina zamalek, al ahly, esperence, es setif, waydad, raja casablanca walikuwa wa moto kweli kweli, huku kwa weusi kuna asec mimosas, mazembe,canon yaunde, asante kotoko etc, hapo jiulize makundi tu unafikaje katika nafasi 8 tu, na hapo hapo ukatwae ubingwa kabisa
Zama hizi hakuna wachezaji wa kiwango kama zamani kwa timu za africa zinazocheza caf maana ulaya wanaenda mapema , mfano aboutrika, zaki, enyeama, toure, etc etc walikuwa wana uwezo mkubwa sana na wanacheza caf na timu zao huku wana viwango vya ulaya tupu
Caf wamefanya mabadiliko mengi kwenye mashindano yao yote. Yamekuwa mepesi ndio maana hata Tanzania tunafuzu kucheza afcon zama hizi.... zamani wewe ulisikia wapi nchi kama Tanzania ama kenya na burundi zinafuzu afcon.
Kwanza hata kwa zama hizi horoya ana mafanikio ya haraka kuliko simba .. na horoya hawajawekeza hela nyingi kama simba .ila horoya anafika mbali kuliko simba karibu kila msimu
Horoya amefika mbali zaidi ya Simba msimu upi ?Caf ya sasa hivi rahisi kuliko ya zamani.. zamani kufika group stage tu ilikuwa uwe mwanaume kweli kweli.... maana group stage zilikuwa zinaingia timu 8 tu.. siku hizi group stage zinaingia timu 16..
Enyimba waliwekeza hela nyingii sana kutwaa ubingwa wa caf haraka haraka. Walijenga hadi uwanja wa gharama kuliko hata wa mazembe ama azam... enzi hizo waarabu kina zamalek, al ahly, esperence, es setif, waydad, raja casablanca walikuwa wa moto kweli kweli, huku kwa weusi kuna asec mimosas, mazembe,canon yaunde, asante kotoko etc, hapo jiulize makundi tu unafikaje katika nafasi 8 tu, na hapo hapo ukatwae ubingwa kabisa
Zama hizi hakuna wachezaji wa kiwango kama zamani kwa timu za africa zinazocheza caf maana ulaya wanaenda mapema , mfano aboutrika, zaki, enyeama, toure, etc etc walikuwa wana uwezo mkubwa sana na wanacheza caf na timu zao huku wana viwango vya ulaya tupu
Caf wamefanya mabadiliko mengi kwenye mashindano yao yote. Yamekuwa mepesi ndio maana hata Tanzania tunafuzu kucheza afcon zama hizi.... zamani wewe ulisikia wapi nchi kama Tanzania ama kenya na burundi zinafuzu afcon.
Kwanza hata kwa zama hizi horoya ana mafanikio ya haraka kuliko simba .. na horoya hawajawekeza hela nyingi kama simba .ila horoya anafika mbali kuliko simba karibu kila msimu
Horoya amefika mbali zaidi ya Simba msimu upi ?
Horoya kavuka kwenda robo fainali mara ngapi ?
Hivi unajua karibu kikosi kizima cha Horoya wanacheza national teams zao ?
Mbona hujaweka sasa hizo takwimu za Horoya ?Kabla hujauliza horoya kavuka robo mara ngapi jiulize Simba kavuka robo fainali mara ngapi pia?
Weka mafanikio ya simba misimu minne (4) iliyopita toka mo ameanza kuwekeza simba kisha uweke na ya horoya kwenye mashindano ya caf tujue nani anamzidi mwenzake..
Weka tushindanishe simba vs horoya amefika robo mara ngapi
Na weka tushindanishe simba vs horoya kafika makundi mara ngapi..
Weka tushindanjshe pia simba vs horoya kafika 2nd round mara ngapi
Weka tushinanishe 4 season za simba wakiwa na mo dewji na 4 season za horoya
Mbona hujaweka sasa hizo takwimu za Horoya ?
Alifika wapi ?Horoya in last 4 season.
Kafika robo fainali mara mbili
Kafika hatua ya makundi mara moja
Na kafika second round mara moja..
Naomba na wewe uweke takwimu za simba
Hiyo ni ya caf champions league . Sijaweka ya confederations cup maana horoya baada ya kutolewa second round alipelekwa confederations cup na akafika mbali pia..
Weka ya simba sasa last 4 seasons za simba ya kisasa chini ya tajiri mo
Alifika wapi ?
Horoya Kafika Quaterfinals mara mbili katika hiyo misimu 4 sawa na simba ambaye nae alifika Quarterfinals mara mbili.
Tofauti ni ipi hapo ?