CAF Club Ranking: Simba SC yasogea Top 10

Hawa umbwa kaizer tungewafurumusha tumgekuwa huko kwa horoya huko, hii game inaniuma mpaka kesho..

Wakati mwingine mpira una matokeo ya kikatili mnoo

Muhuni kaizer ndio mara ya kwanza maishani katinga hatua ya nusu fainali.. yaani simba ndie mnyongee wake kaizer aliemfanya afike nusu..
 
Tulienda South bila kua na strategy za kukwepa figisu za Amakhosi

Ile timu inasifika kwa uchawi South nzima.

Mpira ungekuwa na uchawi kombe la dunia lingekuwa gambushi.. ama nigeria wangetwaa caf kila msimu... mpira ni mbinu za kocha na uwezo wa wachezaji
 
Mpira ungekuwa na uchawi kombe la dunia lingekuwa gambushi.. ama nigeria wangetwaa caf kila msimu... mpira ni mbinu za kocha na uwezo wa wachezaji
Yanga kila mkitaka kucheza na Simba kambi yenu hua ni bagamoyo, hua mnaenda kufanya nini mkuu?
 
Yanga kila mkitaka kucheza na Simba kambi yenu hua ni bagamoyo, hua mnaenda kufanya nini mkuu?

Hayo umeyasema wewe.. mimi sina uhakika nayo... ula narudia tena uchawi hauna msaada wowote kwenye soka...ungekuwa unafaa uchawi gamboshi ama nigeria wangetwaa champions league mara kibao
 
Naomba kufahamishwa hivi msimu wa 2018/2019 Simba ilipofanikiwa kufika robo fainali, je Simba ilikuwa inashika nafasi ya ngapi kwenye CAF kwa kipindi hiko?
 
Naomba kufahamishwa hivi msimu wa 2018/2019 Simba ilipofanikiwa kufika robo fainali, je Simba ilikuwa inashika nafasi ya ngapi kwenye CAF kwa kipindi hiko?
1.TP Mazembe 🇨🇩
2.Wydad Casablanca 🇲🇦
3.Al-Ahly 🇪🇬
4.Espérance de Tunis 🇹🇳
5.Mamelodi Sundowns 🇿🇦
6.Étoile du Sahel 🇹🇳
7.Zamalek 🇪🇬
8.Horoya 🇬🇳
9.USM Alger 🇩🇿
9.Raja Casablanca 🇲🇦
11.ZESCO United 🇿🇲
12.AS Vita Club 🇨🇩
13.RS Berkane 🇲🇦
14.CS Sfaxien 🇹🇳
15.Al-Hilal 🇸🇩
15.Club Africain 🇹🇳
17.ES Sétif 🇩🇿
18.1º de Agosto 🇦🇴
18.Enyimba 🇳🇬
20.CS Constantine 🇩🇿
20.FUS Rabat 🇲🇦
20.Simba 🇹🇿
23.Gor Mahia 🇰🇪
23.Orlando Pirates 🇿🇦
25.Al-Masry 🇪🇬
25.SuperSport United 🇿🇦
27.ASEC Mimosas 🇨🇮
27.KCCA 🇺🇬
29.JS Saoura 🇩🇿
29.MC Alger 🇩🇿
29.Al-Ahli Tripoli 🇱🇾
29.Hassania Agadir 🇲🇦
29.Lobi Stars
 
Back
Top Bottom