twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Wakuu ile ndege imeonekana?
Daaaah..
Hata wakitolewa watakuwa wamekufa kiume bana.
la bridi?
Waarabu tupeni raha Watanzania...
inaongoza vp fahanua?Inatakiwa wachezaji wetu wasiwaze kupaki basi mda wote tu, Go yanga, go yanga!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
He is not.....kitangaza nia mchezo
Naombeni mnipe link ingine, ile ya nile aionyeshi tena.
Naombeni mnipe link ingine, ile ya nile aionyeshi tena.
Daaaah..
hapa ninapoangalia mimi kuna mtu anasikiliza redio kama mnavyojua redio inawahi kuliko tv sasa yeye akasema goli mara likaingia wasjabiki wa yanga wamempa kichapo heavy
Madrid 1 Levante 0 CR7.
kweli mfungwa hachagui gereza