ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
dida anacheza na akili zao tu...hakuna alichoweka golini.Aibuuuu tena aibu kubwa jamani....dida anaweka "vitu" kwenye lango la goli....uchawi live
dida anacheza na akili zao tu...hakuna alichoweka golini.Aibuuuu tena aibu kubwa jamani....dida anaweka "vitu" kwenye lango la goli....uchawi live
Come on Yanga wapigeni ubaya hawa Waarabu
kwani dk yangapi anachelewesha mpira...?
Nilitaka city awe anashiriki mashindano mengi ili wawe wanachoka iwe rahisi kwa Chelsea kuchukua kombe! Lkn saiz wataweka nguvu kwa EPL sn!
Hongera kijana Naona huo Mkeka wa kwanza umegawana Faida na Mhindi.
Yanga wamepaki basi sasa
Yanga wana hali mbaya sana...
Dah. Ngassa anaelekea benchi.
mama yangu! goli la wazi kabisa tunakosa!
Kwa ujumla Heaven on Earth unaipenda Yanga. Pamoja na hilo leo unastahili kuwa nguli wa Jukwaa. Hapo vipi?