Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,427
- 1,758
Leo nina hasira kama kifaru aliyejeruhiwa...
hahaha! Akuuu! Ataanza kulalamika yanga wamefanyiwa hujuma kabla ya salamu! Ctaki miye!
Leo nina hasira kama kifaru aliyejeruhiwa...
watu wameshalala, tuheshimiane kwani okwi ni nani..
Wakuu msaada tafadhari kwa walio angalia mechi.nasikia magori ya al ahly yalikua yote ya ofside.?