Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,950
- 134,021
mtangazaji anasema watz tuiombee Yanga,huyu vipi,uzalendo ni kwa stars tu!Al ahly piga mimba 7 hao yebo
Hawa waarabu vipi kwani! Tutasumbuliwa kesho humu jf!
mkuu unaangalia kupitia ungo au?
Hawa waarabu vipi kwani! Tutasumbuliwa kesho humu jf!
leo tunaweka historia hapa
Sijui Binkleb kawatembeza mifuko ya khaki kila mchezaji wao!! Maana hata mimi siwaelewi.Hawa waarabu vipi kwani! Tutasumbuliwa kesho humu jf!
haya bwana.Ehe Bwana kupitia ungo la muhimu ni kwamba ninaona. Tiba
mlisema dakika 15 za mwanzo yanga watapigwa lakini mpaka sasa bilabila..........
Mkuu kipindi cha pili Yanga wamekwishaa!!!
Bado hujasema! na tukirudi bado nyie.Sijui Binkleb kawatembeza mifuko ya khaki kila mchezaji wao!! Maana hata mimi siwaelewi.
Kaka ahadi ni deni.
mtangazaji anasema watz tuiombee Yanga,huyu vipi,uzalendo ni kwa stars tu!Al ahly piga mimba 7 hao yebo
Ball position yanga 48 ahly 52..
Ball position yanga 48 ahly 52..
Huyu refa nimetokea kumpenda, hakuna kuwabeba hawa Waarab
Kabisa!Mpira wa kuchezwa bila washabiki mi kama umeschezwa mezani/ hauna ladha