Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,109
- 3,054
jamani twaipenda yanga.ila mziki wa AlAhly sio.
Usiwaogope ni vilaza tu.
jamani twaipenda yanga.ila mziki wa AlAhly sio.
Mnajifariji...mnapigwa tano bila
Wewe kwa JF ni nambari moja....mantakhofu utapata
Nafikiri muda wa mechi bado,inaanza saa 2.00 usikuHizi link mnazotoa mbona hazioneshi kitu??
Nisiseme mengi mkuu....bado saa moja tu
nasubiria kuliona dushe lako tu hiyo kesho
nasubiria kuliona dushe lako tu hiyo kesho
Hizi link mnazotoa mbona hazioneshi kitu??
nasubiria kuliona dushe lako tu hiyo kesho
nilitaka nishangae mkuu, usitupeleke MMU hata kidogo!nasubiria kuliona dushe lako tu hiyo kesho
Meseji zangu huzioni?
Hawawezi kushinda bila mashabiki wale. Mashabiki wao ndio wachawii...
Ha!ha!ha!ha!ha!... Umesahau atakua na wife wake pia.
nilitaka nishangae mkuu, usitupeleke MMU hata kidogo!