Cabinet CHADEMA

..utakuwa ni upunguani na kutokuwa na utimamu wa ubongo unapo wafananisha CDM kufanya haya mauaji. Kwa vyovyote CDM hawawezi na hawajawahi kuhusika kuua wapiga kura wao, bali ni CCM, na kuna matukio kazaa tu ya kudhibitisha, kumbuka CUF nini kiliwatokea, sema kilichowagarimu CUF ilikuwa ni suala la UDINI ambalo lilipandikiza na kuenezwa mpaka kwa mabwana wakubwa. Ila la CDM linasapoti kila kona ya dunia, na ni dhahili kuwa CDM ni chama makini chenye kulenga kutokomeza suala la rushwa na ufisadi na kuleta uwajibikaji ktk matumizi ya rasilimali za umma. Na CDM ni mwiba kweli hata wewe unafahamu (hata kama kimoyomoyo) ingawa unaweza ukapinga kwa kuropoka, lakini hakika inaeleweka CDM kilitufumbua macho sisi walala hoi juu ya uzandiki wa CCM.

chaga development manifesto [CDM] lazima iwe mwiba kwa sababu maaskofu na wachungaji wanatoa sapoti nzuri sana.
 
Ndugu zangu wana jf, kila mmoja wetu nadhani atakuwa ameguswa vya kutosha kuhusiana na matukio mengi yaliyotokea ktk uchaguzi mdogo Igunga!
Ktk mengi hayo yaliyotokea, KUBWA zaidi ya yote ni MAUAJI YA KUTISHA ambayo yametukosesha ndg zetu tuliowategemea ktk familia zetu na Taifa kwa ujumla!!
Ktk mauaji hayo kila mmoja wetu anajua kuwa mtuhumia mkuu ni CCM, ambao mpaka sasa wamekaa kimya kana kwamba hawajui kilichotokea! "Hapa sisiti kusema UKIONA KIMYA UJUE NDIO!!"
Cdm, tafadhari narudia Cdm!! Tunahitaji kusikia msimamo wenu ktk hili!! Ndg zetu wanauawa na magamba kwa sababu ya ukombozi tena wanauliwa kwa dharau wakijua hatuna la kuwafanya!! Huu ni ukatiri ulotukuka!!
Cdm ninyi ndo viongozi wa ukombozi jamani nawaombeni tafteni njia mbadala ya kuwatia kitanzi wahusika maana hata huo upelelezi wanafanya wao Magamba usitegemee lolote!!
Bora watu tuingie hata msituni tulipize visasi tu! Hawa magamba wameshajua hawana lao tena sasa wameanza kutuua!! (NANOA PANGA SIKUBALI NDG YANGU AFE HIVIHIVI!! SAHAU!!)
Nasistiza jamani kiongozi yeyote cdm atujuze huo upelelezi umefikia wapi!!

Mkuu cool down mambo mazuri yanakuja haina haja ya kuwa na mukhari.....tamko litakuja na the way forward,just wait.
 
chaga development manifesto [CDM] lazima iwe mwiba kwa sababu maaskofu na wachungaji wanatoa sapoti nzuri sana.

Aisee!! Haya bwana,naona unaharisha tu hapa JF,ukimaliza uzoe kabisa hatutaki uchafu wako hapa JF...
 
1. misitu imekuwa adimu sana siku hizi, hii inatokana na biashara ya mkaa.
2. je wewe unaushahidi gani kuwa ilikuwa CCM na sio CDM
3.Humu JF kuna watu wengi sana na wengine ndio hao unaotaka kuwaua sasa vipi unawaomba wajiunge na wewe.
4. CDM wanafanya uchunguzi wakati wao wenyewe ni washakiwa.[/QUOTE]

Mkuu, ebu tujuze, nani kawashitaki hao CDM, kwa kosa au makosa gani mkuu??? Na katika mahakama ipi?? Mimi nilidhani ungesema tupige kelele ili wahusika waongeze kasi ya upelelezi ili perpetrators wapatikane haraka na haki itendeke, instead of pointing finngers on each other. Nakumbuka waziri mhusika once alisema kwamba atatumia kila raslimali iliyopo katika jeshi la polisi ili waliomwagia watu acid kule Igunga wapatikane. Nadhani hapa tumtake sasa jeshi lisilale ili wauaji wa hao ndugu zetu wapatikane bila kujali wanatoka dini au chama gani. Mhalifu ni mhalifu tu.
 
Umesema kweli rafiki; utaona kuwa wakati mwingine bila busara kutumiwa na viongozi basi nchi inaweza kwenda kusiko namara vumbi likitua wanakuja kujigundua wamekuwa linked kuwa ni wahusika katika kusababisha haya.

Let me explain...kwenye ukristo tunasema siku ya mwisho bwana atabagua kondoo na mbuzi nao mbuzi wataambiwa nalikuwa mgonjwa na nilipofungwa hukuja kuniona; nalikuwa na njaa hukunipa chakula na nalikua uchi hukunivika na waupande wapili vile vile wataambia mlinipa chakula, dawa, mlinitembelea then kila ***** litauliza ni lini tulifanya haya...naye atajibu wowote wa wadogo hawa mliowatendea mlinitendea mimi.

Vivyo hivyo kwa viongozi wote wakuu wa vyama na serikali matamshi yenu yasipopimwa mara saba na kuaminiwa kuwa yafaa kutamkwa ipo siku hayo maswali ya "...nilini tuliyafanya haya?" Yatakapo kuwa ndiyo maswali yenu...Mnafanya mzaha kwa mambo ya msingi bila kufikiria consequences zake. Yes wewe utasema ukidhani wengine watachukulia in a positive way kama propaganda; lakini mkumbuke ma-opportunist wenu ndiyo watakao fanya kweli kwakudhani kuwa wakitekeleza haya mtawapa credit, kumbe wakati mwingine hayo yakitokea wana kuvictimize hata wewe.

La mwisho kama mwanasiasa mmoja alishawahi kusema kuwa; "...Ukiona kijana anakuwa mnafiki ujue uzeeni atakuwa mchawa". Hii ni valid statement kwani kijana anayekuwa mnafiki mara nyingi ni yule asiye na maono yoyote zaidi ya kutegemea kubebwa na mbereko kama mtoto mdogo; ambapo kwa tabia hiyo mara nyingi badala ya kukulia busara anakuwa kubwa jinga na hilo likitokea huko mbeleni anaanza ku-vitimize wale waliosimama kwa miguu yao waka excel to the highest ranks in life hapo ndipo sasa yeye anageuka kuwa mchawi... Vijana kataaeni kuwa puppet wa viongozi; fanyeni kazi kwa juhudi na maarifa kila mtu amepangiwa destiny yake na huko hakuna cris cross kwamba mwingine atachukuwa nafasi yako; nature haiko hivyo hata siku moja...

The fighters will always realised their destiny either earlier or late! Neno la Mungu la sema "....since the time of John the Baptist the Kingdom of God suffer the violence and the violent conqures it" Violence ya hapo ni ile ya kufanya kazi kwa akili mikono na kutembea kwa miguu yako, ukideka tu inakula kwako...msije mka interprete to surfice your evil needs!

I am the living testmony kwani pamoja na previllage zote nilizokuwa nazo yet niliamua kwa hiari yangu kufight on my own to reach my destiny....nilikuwa labled as mkorofi kwenye family (relatives and their friends); lakini leo hii mimi naheshimiwa sana kuliko wale waliowabeba na kubakia kuwa watumwa kwao hao relatives waliokuwa wanaji lable ni ma-god fathers wao! Hii ni principle ya nature kuwa kila anayekubeba hatapenda uwe zaidi yake hatasiku moja; hata neno la Mungu linasema "....the begger is subject to the lander..." ukikubali kubebwa kubali kuwa puppet milele! Lakini ukikataa unajenga confidance na unaweza ku-excel to the highest ranks hata zaidi ya watu wote duniani; kwani utajiri na heshima unatoka kwa Mungu na amelaaniwa mwanadamu anayemfanya mwanadamu mwenzake kuwa tumaini lake na kumbe moyoni amemwacha Mungu!

Swali la mwisho kwao hao ma-opportunist hivi can you give what you dont have? Kama baraka anagawa Mungu je aliyelaaniwa aweza kuwa baraka ama laana? Be wise and be yourselves!

AME, Point zako zimenigusa na zina Mshiko
Tatizo Kubwa linalotukumba Watanzania linaanzia kwetu sisi Watanzania, tukumbuke Tanzania itajengwa na Watanzania, hakuna Mjadala kwa hili, ila kwa maoni yangu naona tatizo ni ELIMU, tunapaswa kuelimishana kuhusu kujua RIGHTS zetu kama Watanzania.
Njaa nayo tatizo kwenye Jamii yetu, sio Njaa ya kujilimbikizia mali, fedha kwa njia haramu na ubadhilifu.
Naamini yote yanawezekana tukimtanguliza MUNGU, hakuna jambo lenye Mwanzo lisilo na Mwisho
Naomba kuwakilisha
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Una uhakika gani kuwa wauaji ni ccm?.

Tusihukumu mtu yeyote.
 
..utakuwa ni upunguani na kutokuwa na utimamu wa ubongo unapo wafananisha CDM kufanya haya mauaji. Kwa vyovyote CDM hawawezi na hawajawahi kuhusika kuua wapiga kura wao, bali ni CCM, na kuna matukio kazaa tu ya kudhibitisha, kumbuka CUF nini kiliwatokea, sema kilichowagarimu CUF ilikuwa ni suala la UDINI ambalo lilipandikiza na kuenezwa mpaka kwa mabwana wakubwa. Ila la CDM linasapoti kila kona ya dunia, na ni dhahili kuwa CDM ni chama makini chenye kulenga kutokomeza suala la rushwa na ufisadi na kuleta uwajibikaji ktk matumizi ya rasilimali za umma. Na CDM ni mwiba kweli hata wewe unafahamu (hata kama kimoyomoyo) ingawa unaweza ukapinga kwa kuropoka, lakini hakika inaeleweka CDM kilitufumbua macho sisi walala hoi juu ya uzandiki wa CCM.

na hili la CHACHA WANGWE liko je mkubwa?
 
Hivi Ocampo ni mpaka mass blood itokee ndio aje? Maana mauaji yanazidi! Matukio kama haya yakikosa CDM makini ndio yanayopelkea mauaji ya halaiki, kumbe ICC intufundisha nini? Mpaka tuuane ndio iingilie kati? kwa nini haichukui tahadhari ya kuepusha haya! Ocampo njoo Tanzania Arusha, Igunga, Bulyanhuru watu wamefukiwa hai na sasa kule mara ambako watu 800 wameitwa majambazi na kuuawa na kuchapwa risasi au kwa vile wengine wameuawa kwa baraka za utandwazi wa wazungu wanaoitwa wawekezaji???????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!, twafa
 
tunaomba CDM watujuze kinachoendelea kwa wenzetu tujue moja kuliko kuwa kimya.
 
Unajuwa sisi watanzania tuna asili ya kupiga domo tu, ndio maana warabu walikuja na kubeba mababu zetu kama vile wako kwenye zizi na hakuna aliepigana nao, wakafata wajerumani na kututawala kiulani kama mbuzi, wakafatia waingereza na kutulimisha mpaka wakaamua kumpa kijana wao nyerere hii nchi huku akiendelea kumuamrisha.
Sasa haya mambo yanaendelea mpaka leo....Watanzania ni waoga na tutaendelea kutawaliwa kama mbuzi kama sio na CCM basi hata hao CDM fatafanya hivyo hivyo.
 
chacha wangwe naye aliuliwa na ccm!!? migwanda bwana inauana yenyewe ili ipate umaarufu.
Chacha Wangwe aliuawa na usalama wa taifa wa serikali ya ccm, walimtuma kuivuruga chadema, walipoona ameshindwa kutimiza azma yao na ameshakula pesa zao hawakuwa na njia nyingine zaidi ya kumwua. Mwuuaji yupo huru anavinjari mitaani. Halafu we mtoto wa mama inaonyesha unakanyagwa sana.
 
chacha wangwe naye aliuliwa na ccm!!? migwanda bwana inauana yenyewe ili ipate umaarufu.

kilicho muua chacha wangwe ni ajali ya barabara ambazo zinatengenezwa na magamba.wewe umeona chacha tu?mabas ya abiria,magari ya mizigo yanayopata ajali mbona husemi?tuache kidogo.
 
Una uhakika gani kuwa wauaji ni ccm?.

Tusihukumu mtu yeyote.

CCM inalaumiwa kwasababu yenyewe ndiyo imeunda serikali yenye dola ambayo ndiyo yenye dhamana ya kulinda raia na mali zao. Inalaumiwa pia kwasababu makada wake walionekana hadharani wakiwa na silaha na mpaka sasa hatujasikia any serious action taken kisiasa ama kisheria kama kumlazimisha kujihudhulu wadhifa wake kwani kama kiongozi ame set precedence mbaya kwa taifa kwa kuhatarisha amani....Sasa sisi kama raia tunahaki ya kutupa lawama zote kwao mpaka hapo watakapo tushawishi kuwa si wao kisiasa na hata ki sheria....japo na sheria nazo kwenye macho yetu wameshatufanya kuziona zinatuhusu sisi tu walala hoi na ikiwa upande wao tafsiri yake huwa tofauti.....CCM mnakazi kwani mchelea mwana kulia hulia yeye!
 
Vijana twendeni taratibu muda utafika haki itapatikana .Watanzania wanaona na hata hao wana fanya uchafu na wanao wafuumbia macho wanajua na nafsi zao haziko sawa muda wowote .So is matterfof time Mungu atajibu kabla ya mtu kushika panga .
 
Chacha wangwe aliuliwa na mbowe baada ya chacha wangwe kupinga uchaga ndani ya chadema na pia wangwe kuhoji matumizi ya ruzuku ya chadema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom