Itapendeza wakifunga na hizi blog za udaku, yaani wanachunguza maisha ya watu hadi kero.
Udaku udaku na Umbea ndo vimetawala ktk hizi blog za bongo, Serikali futa hizi Blog za Umbea na udaku na hizi za ngono.
Kiswahili kinachanganya, hivi huy nancy anasambaza au ameweka hizo picha za utupu, kama anasambaza hiyo itakuwa inamuhusu ila kama ameweka tu na watu wenyewe ndio wanaofuata hiyo haimuhusu kabisa:tape2::tape2:
Wabunge kwa unafiki bwana....yaani wanakataa hii blog wakati wao ndiyo wanaongoza kuperuzi humo kila kukicha kuona kama wamebandikwa na machangu wao uchwara. Hii yote ni kutaka kudhibiti machangu wao wasitume picha kwa Nancy wakionekana kungononeka na wateja wao wabunge.