Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
Bado haujakaa?
tatizo nimepakatwa.......
Bado haujakaa?
tatizo nimepakatwa.......
mmmh shoga hata wewe???
jioni nitafute shemu nikupe zawadi yako kweli wewe unafaa kuwa mlinzi wangu zidi ya dada yako maana mh!! sijui utoto au mie ndo mshamba hata sielewi eti!!:target::target:
Mmmhh!
Ulisema kwa thread yako ni badili tabia gani? ?sijakuelewa??poa.......nitasubiri!!!!!!!
unaguna nini???
tatizo nimepakatwa.......
Ulisema kwa thread yako ni badili tabia gani? ?sijakuelewa??
Nimejiskia faraja kukusikia ukisema hivi.....I CAN ONLY IMAGINESamahani Rich woman sio demu nitakupeleka mahali pasipo julikana ukiendelea kumuita ivyo.
Nimejiskia faraja kukusikia ukisema hivi.....I CAN ONLY IMAGINE
Donn safari njema huko uendako Mungu akutangulie na ukawe chumvi
nimeamka salama...najua kuna watu hawapendi kuniona mimi na wewe hata tukisalimiana ila naona kama wamebugiumeamka salama?
nimeamka salama...najua kuna watu hawapendi kuniona mimi na wewe hata tukisalimiana ila naona kama wamebugi