JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
we si hujajibu PM Yangu... Mi nasepa ss.. Thawa
usiondoke bana kuna mambo nataka tuyaweke sawa!!!!!!!
usihofu wangu... Nakuletea zawadi kubwaaa kabisa.. Utaipenda
wewe si umeaga unaenda mbona unaaga mara kumi kumi?..... fanya uwahi fastjeet imeshaanza piga honi huko airportKiaje? Wacha nikaushe...
isiwe kubwa kama tembo sitakuwa na pa kuiweka banaa!
wewe si umeaga unaenda mbona unaaga mara kumi kumi?..... fanya uwahi fastjeet imeshaanza piga honi huko airport
oooh!! I love you mamiiitoo leo unanipikia nini?