Bye Bye Chit-Chat..Bye bye JF

Bye Bye Chit-Chat..Bye bye JF

JosephElly

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,432
Reaction score
1,035
Ni utamaduni wetu kupiga hodi pia kuaga wakati wa kuondoka...Dah, natamani sana kuendelea kuwepo CC na JF kwa ujumla. Lakini majukumu yameniandama, lazima nisepe kwa muda... Nitawamiss sana ndugu zangu noahism Leah Brown mimisa na wengine wengi... Tuombeane uzima tu.. See you on March ndugu. Bye Bye CC Bye bye JF.
copy to All C.C.B Members. charminglady Madame B watu8 Evelyn Salt Paloma Arushaone etc etc
 
Last edited by a moderator:
Donn nitakumiss mkuu, piga kazi I hope 28 au 30 tutajicheki, kwaiyo unaniachia u C.E.O wa C.C.B? Tatizo huna mke ungeniachia
 
Last edited by a moderator:
Acha ubinafsi Donn chako changu, changu ni changu peke yangu.
Duh... We utakuwa CEO wa C.C.B Mpaka hapo nitaporudi.. Ila usiwe kama Waarabu ukanipindua. Ila kwenye swala la me wacha masihara
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom