Hodi Hodi C.C Nimerudiii Tenaa...!! >>Donn<<

Donn ..! nafuraha kukuona cc tena. Pamoja..
Napiga hodi baada ya kuaga na kujipa Ban binafsi... Dah.. Kukaa nje ya C.C Ni mateso aiseee... C.C.B (Chit-Chat Bachelors) Nimerudi, Wanandoa kama watu8 nimerudi...Walio vuguvugu kama noahism nimerudi... Wenye ndoa za mikataba kama Chimbuvu Madame B or Arushaone nimerudi.... Nimepokeeni kijana wenu
 
Last edited by a moderator:
Ur welcome, nipo na mke wangu Madame B tunakula raha ya dunia
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena...ila ni kama uliaga kuwa utarudi mwezi March, imekuaje?
 
Karibu... ila nina tatizo moja mwenye kiti. Pale nilipoitunza ID yangu ya CCB nimekuta panya kaitoboa toboa... Hata haisomeki tena. unaweza kunitumia tena???
 
hahahahahahahaha
jamani uliiweka wapi hadi panya wameifikia?
na hao panya kiboko itabidi tutafute dawa wasije siku wakakutafuna miguu mrembo wetu
 
Karibu sana tena umekuja wakati muafaka,harusi jumamosi,muone Mwenyekiti wa kamati Baba V akupe majukumu yako!
 
Karibu... ila nina tatizo moja mwenye kiti. Pale nilipoitunza ID yangu ya CCB nimekuta panya kaitoboa toboa... Hata haisomeki tena. unaweza kunitumia tena???

Muite slave aje awakamate akaongeze idadi ya mifugo yake!
 
Napiga hodi baada ya kuaga na kujipa Ban binafsi... Dah.. Kukaa nje ya C.C Ni mateso aiseee... C.C.B (Chit-Chat Bachelors) Nimerudi, Wanandoa kama watu8 nimerudi...Walio vuguvugu kama noahism nimerudi... Wenye ndoa za mikataba kama Chimbuvu Madame B or Arushaone nimerudi.... Nimepokeeni kijana wenu

Ushindwe na Ulegee.
Nani ana ndoa ya mkataba?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom