JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
- Thread starter
- #141
wewe huoni wake wa watu wanavyo kufata fata?
Mfano????
wewe huoni wake wa watu wanavyo kufata fata?
bila kumpendezesha Evelyn Salt mgempenda??????? mbona hamkumpenda alivyo kuwa kule kijijini mie nimlete mjini nyie mjione ndo wajanja?Khaaa.. Kijana kisa Evelyn Salt au? We maneno yangu matamu umeyasikia wapi?
charminglady atakayo kuambia usisahau kunifoadia.
bila kumpendezesha Evelyn Salt mgempenda??????? mbona hamkumpenda alivyo kuwa kule kijijini mie nimlete mjini nyie mjione ndo wajanja?
my sorrow will you turn into joy????
Bora umeondoka ulikuwa kiwungu
fanya ihesabike moja hiyo.................... mbili.........teh teh teh.. hiyo ilikuwa mtu tu anazingua... Haihesabiki
ahh sorry mie nilikuwa nasoma signature yako tu so sina ufafanuzi zaidi mzima lakini weweeee?i don't get any connection here,more clarification is needed
japo paswd yako ninayo na yangu unayo lakini usalama wako upo mikononi pangu zaidi ya hayo ujue juhudi zangu zinahitajika.Si pasword unayo dia zama tu kwa account yangu!!!
ahh sorry mie nilikuwa nasoma signature yako tu so sina ufafanuzi zaidi mzima lakini weweeee?
yaani mie ndo nashangaa kabsaaaaaaa!!! hapa nimejifunza kitu ile meza yako ya vipodozi inabidi tumuuzie King'asti hapa ndani haitufai kabisa(kwa usalama wa ndoa yetu)
yaani mie ndo nashangaa kabsaaaaaaa!!! hapa nimejifunza kitu ile meza yako ya vipodozi inabidi tumuuzie King'asti hapa ndani haitufai kabisa(kwa usalama wa ndoa yetu)
ndugu yangu mbona ndoa yako inaonekana inaanza kukuelemea?