Mtu anashiba kande anachukua smartphone direct kuanzisha mada ambazo Hana hata uelewa nazo ilimradi tu aonekane naye wamo!! Huwa nacheka sana hizi analysis zao!! Tuna safari ndefu sana!Wajuaji ambao hawana hata taarifa za kawaida tu.
Inahusiana vipi na nilichoandika? Pambaneni na hali zenu fitina, umbea, majungu na maneno maneno ya kwenye khanga hayatowasaidia kwa chochote!!Hahaa. Bado una hasira! Mlidhani CHADEMA inakufa kumbe ndiyo raia wanazidi kuichangia. Zile zama za mwenyekiti kukopesha chama haziko tena.
Walugaluga wanachosha sana, ni wa kuwapuuza tu wala usipoteze nguvu kuwaeleweshaMtu anashiba kande anachukua smartphone direct kuanzisha mada ambazo Hana hata uelewa nazo ilimradi tu aonekane naye wamo!! Huwa nacheka sana hizi analysis zao!! Tuna safari ndefu sana!
Mpaka mwaka jana tuliambiwa vinu vyote vimekamilika na vipo kwenye testing.Kwa mtindo wa kila kiongozi kuanzisha chake na kukiuwa cha mwenzake ili yeye kuwa bora ni hatari kwa taifa.
Zile elephant project kama sio magofu sasa naona zinelekea kuwa vyuma chakafu.
Hii ni jukwaa la mijadala,huna nguvu ya ku'dictate watu waseme nini na wasiseme nini,Period.Mtu anashiba kande anachukua smartphone direct kuanzisha mada ambazo Hana hata uelewa nazo ilimradi tu aonekane naye wamo!! Huwa nacheka sana hizi analysis zao!! Tuna safari ndefu sana!
CHADEMA iko katika hali nzuri kuliko ilivyokuwa kipindi cha Mbowe. Ilikuwa ni busara sana kususia uchaguzi. Nasikia huko mlikotimukia wengi wenu mnajuta. Mnadhulumiana fedha ma-ugomvi mlioanzisha yamewageukia wenyewe kwa wenyewe.Inahusiana vipi na nilichoandika? Pambaneni na hali zenu fitina, umbea, majungu na maneno maneno ya kwenye khanga hayatowasaidia kwa chochote!!
Habari, Ndugu Mteja na wadau wengine, asanteni sana kwa kuwasiliana nasi.Mpaka mwaka jana tuliambiwa vinu vyote vimekamilika na vipo kwenye testing.
Labda TANESCO watufahamishe wamefikia wapi mpaka sasa....
Kazi ya TANESCO ni tatu...
1. Production.
2. High voltage distribution
3. Low voltage distribution
Sasa Bwawa la umeme linaingia hapo kwenye PRODUCTION. Je tumefanikiwa kwa kiasi gani? Zile 2215MW zipo tayari.
Jr mifumo ya udambazaji imekamilika kwa high na low voltage?
Nmeona mradi mkubwa wa kubadili nguzo kuwa za zege na kuweka transformer mpya... je tumefanikiwa kwa kiasi gani?
Kama wananchi tunahakinya kupata taarifa hizi maana kukatika umeme na mgao bado upo kwa baadhi ya maeneo...
Hizo megawatt ziko wapi?Habari, Ndugu Mteja na wadau wengine, asanteni sana kwa kuwasiliana nasi.
Tafadhali jueni yakwamba Bwawa la Nyerere tayari linazalisha umeme na pia tayari limeshaunganishwa kwenye gridi ya Taifa na linauwezo wa kuzalisha megawatt 2115. ^HM.
Mkuu wasamehe bure.Wajuaji ambao hawana hata taarifa za kawaida tu.
CCM Tunataka majibu ya haya maswali.Hizo megawatt ziko wapi?
Mbona umeme unapanda bei?
Umeme unakata ovyo na kuleta hasara Kwa wafanyabiashara?
Mgao wa umeme hauishi.
Tulitegemea bwabwa la Nyerere likikamilika gharama za umeme ziwe chini
Mbona bei ya umeme hipo juu.Mda mwengine majibu rahisi kama hayo tushazoeaHabari, Ndugu Mteja na wadau wengine, asanteni sana kwa kuwasiliana nasi.
Tafadhali jueni yakwamba Bwawa la Nyerere tayari linazalisha umeme na pia tayari limeshaunganishwa kwenye gridi ya Taifa na linauwezo wa kuzalisha megawatt 2115. ^HM.
ASante kwa majibu haya....Habari, Ndugu Mteja na wadau wengine, asanteni sana kwa kuwasiliana nasi.
Tafadhali jueni yakwamba Bwawa la Nyerere tayari linazalisha umeme na pia tayari limeshaunganishwa kwenye gridi ya Taifa na linauwezo wa kuzalisha megawatt 2115. ^HM.
Habari, ndugu mteja na asante kwa kuwasiliana nasi.Hizo megawatt ziko wapi?
Mbona umeme unapanda bei?
Umeme unakata ovyo na kuleta hasara Kwa wafanyabiashara?
Mgao wa umeme hauishi.
Tulitegemea bwabwa la Nyerere likikamilika gharama za umeme ziwe chini
Habari, Ndugu Mteja. Asante kwa kuwasiliana nasi.ASante kwa majibu haya....
Tunapenda kujua zimesaidia kupunguza tatzo la umeme kwa kiasi gani? Je matumizi ya nchi nzima ni kiasi gani? Tunabaki na ziada kiasi gani?
Tatzo kubwa sasa ni usambazaji? Tutegemee kutengamaa kwa huduma na kushuka kwa bei kuanzia mwaka gani?
Asante sana kwa majibu.Habari, Ndugu Mteja. Asante kwa kuwasiliana nasi.
Tayari tulishatoa majibu kupitia mjadala huu (thread). Endapo hukuyapata, tafadhali yapitie hapa chini:
Kukamilika kwa mradi wa Julius Nyerere imesaidia kwa kiasi kikubwa sana kwenye kuimalisha huduma nchini
Aidha, hadi kufikia robo ya tatu ya mwaka 2025/2026 mahitaji ya juu zaidi ya umeme yalikuwa yamefikia megawati 2,188.21 huku uwezo wa mitambo ukiwa ni zaidi ya megawati 4,000.
Hadi sasa huduma ya umeme nchini ni nzuri na inapotokea changamoto yoyote wataalam wetu wanarekebisha na huduma kuendelea.
Ni vizuri kutambua siyo kila umeme unapokakati kwenye maeneo yetu sababu inakuwa TANESCO,zipo sababu nyingine za kibinadamu ikiwa ni pamoja na miundombinu kuharibiwa au kugongwa na gari. Hivyo wote tunawajibu wa kuendelea kutunza miundombinu ya umeme. Kwa zile zinahusu TANESCO zinafanyiwa kazi kwa mjibu wa utaratibu.
Kuhusu bei ya umeme,hili linamchakato wake,TANESCO ni Taasisi inayosimamiwa na EWURA na masuala yote ya bei yapo chini ya usimamizi huo.
Hivyo mamlaka hiyo inauwezo mzuri wa kulifanyia kazi kwakuzingatia taratibu zinazoongoza namna ya kupandisha au kushusha bei kwa kuangalia gharama za uendeshaji
Asante na karibu sana. ^FL
Asante sana, Ndugu Mteja.Asante sana kwa majibu.
Nimekuelewa. Naamini tutafikia point ukatikaji wa umeme utakua historia.
Ningekuwa wewe ningekaa kimya, ama ningejibu limefikia wapi, ama kama halijakamilika ungezitoa sababu.Ndio alivyokwambia? Nani alikuahidi unafuu wa umeme?
Sawa Kwa maelezoHabari, ndugu mteja na asante kwa kuwasiliana nasi.