Bwana Mungu Nashangaa Kabisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN
Bwana Mungu Nashangaa Kabisa
Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kiranja Mkuu, Jul 29, 2011.
1. Kiranja Mkuu
Kiranja Mkuu JF-Expert Member
#1
Jul 29, 2011
Joined: Feb 18, 2010
Messages: 2,100
Likes Received: 10
Trophy Points: 0
‘Tatangaza Mungu alivyo mkuu
Chorus x2
Jinsi wewe ulivyo mkuu x2
2. Kiranja Mkuu
Kiranja Mkuu JF-Expert Member
#2
Jul 29, 2011
Joined: Feb 18, 2010
Messages: 2,100
Likes Received: 10
Trophy Points: 0
BWANA MUNGU NASHANGAA
Bwana Mungu nashangaa kabisa
Nikifikiri jinsi vilivyo
Nyota, ngurumo vitu vyote pia
Vil’o umbwa kwa uwezo wako
Roho yangu na ikuimbie
Jinsi wewe ulivyo mkuu
Roho yangu na ikuimbie
Jinsi wewe ulivyo mkuu
Nikitembea pote duniani
Ndege huimba nawasikia
Milima hupendeza macho sana
Upepo nao nafurahia
Chorus
Kristo arudipo kunichukua
Nitabubujikwa na furaha
‘Tamsujudia mbiguni milele
‘Tatangaza Mungu alivyo mkuu
Chorus x2
Jinsi wewe ulivyo mkuu x2
3. Ms Judith
Ms Judith JF-Expert Member
#3
Jul 29, 2011
Joined: Dec 24, 2010
Messages: 2,573
Likes Received: 15
Trophy Points: 135
nikikumbuka kama wewe Mungu,
ulivyompeleka Mwanao,
afe azichukue dhambi zetu,
kuyatambua ni vigumu mmno,
roho yangu,......
Yesu Mwokoozi utakaporudi
kunichukua kwenda mbinguni
Nitafurahi na kuimba milele
Wote wajue jinsi ulivyo
Roho yangu ..........
ubarikiwe sana mpendwa kwa kuweka baraka tele hapa jamii forums!!
Glory to God!!
4. EBENEZA MT
EBENEZA MT JF-Expert Member
#4
Jul 29, 2011
Joined: Jul 4, 2011
Messages: 264
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
Ni wimbo mzuri tenzi no. 114. kwenye leo nikipewa nafasi ya kuimba nitauimba. ubarikiwe sana.
5. S
Stany JF-Expert Member
#5
Jul 29, 2011
Joined: Apr 10, 2011
Messages: 278
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
I like it nami naungana nanyi to sing 4 God
6. Saint Ivuga
Saint Ivuga JF-Expert Member
#6
Jul 29, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 36,237
Likes Received: 14,476
Trophy Points: 280
asanteni sana
7. EBENEZA MT
EBENEZA MT JF-Expert Member
#7
Jul 29, 2011
Joined: Jul 4, 2011
Messages: 264
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
8. RedDevil
RedDevil JF-Expert Member
#8
Jul 30, 2011
Joined: Apr 30, 2009
Messages: 2,235
Likes Received: 795
Trophy Points: 280
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu!! Ni raha kuuimba huu wimbo! hakika huwa unanibariki sana.
9. Rutashubanyuma
Rutashubanyuma JF-Expert Member
#9
Jul 30, 2011
Joined: Sep 24, 2010
Messages: 79,966
Likes Received: 35,874
Trophy Points: 280
Bubujika na furaha sasa, msujudie Muumba sasa na tangaza Mungu alivyo Mkuu sasa......................usitafute visingizio vya kuchelea kuyafanya hayo tajwa eti mpaka Kristu aje kukuchukua...........................utakuwa umechelewa sana.................
10. First Born
First Born JF-Expert Member
#10
Jul 30, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,296
Likes Received: 75
Trophy Points: 145
utukufu kwa bwana
11. Kaduguda
Kaduguda JF-Expert Member
#11
Jul 30, 2011
Joined: Aug 1, 2008
Messages: 601
Likes Received: 139
Trophy Points: 60
Naipenda JF kwa vitu kama hivi kila eneo JF imetimia! Asante sana!
12. Gaga
Gaga JF-Expert Member
#12
Jul 30, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 4,564
Likes Received: 18
Trophy Points: 0
Yesu Mwokoozi utakaporudi
kunichukua kwenda mbinguni
Nitaimba sifa zako milele
Wote wajjue jinsi ulivyo
Roho yangu na ikuimbie.............
13. Gagurito
Gagurito JF-Expert Member
#13
Jul 30, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,616
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Kila mwenye uhai na amsifu bwana! Mungu ndie kimbilio letu, kiongozi wa maisha yetu, yeye ni Mungu wa upeo!
14. Nzowa Godat
Nzowa Godat JF-Expert Member
#14
Jul 30, 2011
Joined: Jun 15, 2011
Messages: 2,606
Likes Received: 121
Trophy Points: 160
Haleluya, Haleluya, Haleluya Jina la Yesu na litukuzwe sana.
15. rosemarie
rosemarie JF-Expert Member
#15
Jul 30, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 6,743
Likes Received: 832
Trophy Points: 280
mungu ni mkuu
kanitoa kwenye umaskini na kudharauliwa
kaniweka juu ili jina lake litukuzwe
16. A
Ave Ave Maria JF-Expert Member
#16
Jul 30, 2011
Joined: Apr 22, 2011
Messages: 10,758
Likes Received: 26
Trophy Points: 0
Every body come, every body sing, every body dance for the LORD GOD! Mtukuze yeye hadi pumzi yako ya mwisho. Yeye ndie akupae mchumba mwema, yeye ndie mwenye kukupatia mke/mume mwema na ni yeye ndie atakaetengeneza maisha yako. Mkabidhi Mungu maisha yako na ye atakushindia!
17. KakaJambazi
KakaJambazi JF-Expert Member
#17
Jul 30, 2011
Joined: Jun 5, 2009
Messages: 13,935
Likes Received: 2,098
Trophy Points: 280
Huu wimbo huwa ze comedy wanautumia.
Wasiwasi wangu yasije yakatokea maandamano ya kupinga zekomedi kuwa ni ya wakristu.
18. Kimey
Kimey JF-Expert Member
#18
Jul 30, 2011
Joined: Mar 25, 2009
Messages: 4,119
Likes Received: 8
Trophy Points: 135
Naupenda sana huu wimbo,it alwayz reminds extravagant grace of God..blessings
19. M
MORIA JF-Expert Member
#19
Jul 30, 2011
Joined: Jul 1, 2011
Messages: 523
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
Mungu ni mwema wimbo huu umetulia...ila kaka hiyo avatar yako inanikumbusha mbaali sana...nilisafiri na lorry la mashudu usiku kucha from dom to dsm kuwahi mechi ya simba na atletico aviacao-angola...sintousahau mpira ule maishani, ilikuwa ni vita kati ya malota,chumila(r.i.p) dhidi ya golikipa 'kanka wemba'- angola one wao...kaka ile ilikuwa simbaaa..
20. Mkirua
Mkirua JF-Expert Member
#20
Jul 30, 2011
Joined: Sep 9, 2010
Messages: 5,666
Likes Received: 14
Trophy Points: 135
"Kuimba Vizuri ni Kusali mara Mbili"....... St. Augustine.
Loading...