Bwana harusi mtarajiwa kachanganyikiwa!

Bwana harusi mtarajiwa kachanganyikiwa!

teh teh teh, hii script unaweza kutengeneza muvi mkuu, fanya uongee na mama kanumba mfanye mambo.
 
Duu kweli watu wanachezea pesa yani kikao tu laki tano. Sijui kwenye harusi atawalisha nini sasa
 
Jamaa alijiwekea takribani milion sita hivi akajiamini harusi yake itakuwa nzuri. Michakato ya mahari jamaa akamaliza kama milioni mbili hivi zikabaki nne. Akaitisha kikao cha ndugu wa karibu akatumia kama laki mbili, kikao cha kwanza akatumia laki tano. Milioni mbili na laki nane ikiwa imebaki.

Ahadi yake kwa kamati ilikuwa milioni moja na nusu ambayo alilipia advance ya ukumbi akawa amebaki na milioni moja laki nane. Maandalizi yake pamoja na ya bibi harusi mpaka sasa kabaki na pesa ya mbuzi.

Bajeti ya harusi milioni 20, Cash iliyopatikana mpaka sasa milioni 4. Kikao cha mwisho kitakuwa jumapili ijayo, jamaa kachanganyikiwa. Kachukuwa ukimbi wa kifahari, sijui itakuwaje. Nimemshauri hapo afanye bia moja na soda moja kama hali aitageuka.

Kwa nini watu wagumu sana kuchangia harusi siku hizi, mtawauwa maharusi kwa pressure.


He wasnt prepared well,harusi huwa rahisi usipotaka mambo juu uwezo wako,sasa ataishia kanisani hata chakula budget hiyo ni ndogo
 
Sisi wengne mbona mil moja tu tuna maliza kila kitu kweli ufisad akifany a mwenzako ila ukifanya mwenyewe upo righti
 
Watu mnacomplicate sana kwenye hii taasisi ya ndoa,wengine kitu cha bomani mbele ya uwepo wa mashahidi na msajili.Mkitoka hapo wewe na mashahidi mnajipongeza kufanikisha hilo jambo.
 
kama wiki mbili tumfanya harusi ya chin ya milion sita watu 150 na ilikuwa nzuri sana. hela aliyokuwa nayo ilitosha sana tu ila basi mbwembwe zake ndo zimemponza. asijali mwisho wa siku lazima harusi ifanyike na itafanyika.
 
Nimevaa shela lako safiii! bwana harusi suti nzuri ! tukienda kanisani baadaye hotel na ndugu zangu na marafiki wachache tunakula chakula cha pamoja na picha za ukumbusho baasi inatosha .Maisha mengine yaendelee

Mungu anipe uhai nioleww,hiii ndio aina ya haruc nataka,uwiiii ctaki strees mm
 
Mungu anipe uhai nioleww,hiii ndio aina ya haruc nataka,uwiiii ctaki strees mm
Safi sana mama unajua muda mwingine wanawake ndio sababu ya wanaume kuwa na stress za kuoa katika maongezi dada mipango ni harusi ya mamilioni! kaka lazima aumwe kichwa .lakini ukiwa kawaida unamsaidia hata huyo bwana harusi mtarajiwa.
 
My statement implies that IT FEELS BETTER TO CRY ON MERCEDES BENZ THAN ON A BICYCLE.

so starlet is compared to bicycle is that what you mean based on the example I previously quoted

well i,m just happy in my starlet hahaha uwiii
 
Back
Top Bottom