Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Milioni sita ufanye harusi, are you f***** kidding me?
Ndoa imekwisha andikishwa, ukumbi umelipiwa advance na mbaya zaidi mchumba wake mama kijacho.Apunguze cost while akiisogeza mbele kwani harusi inakuaga deadline mkuu
Hapo waipangilie harusi kwa staili nyingine itakayopunguza gharama.
Jamaa alijiwekea takribani milion sita hivi akajiamini harusi yake itakuwa nzuri. Michakato ya mahari jamaa akamaliza kama milioni mbili hivi zikabaki nne. Akaitisha kikao cha ndugu wa karibu akatumia kama laki mbili, kikao cha kwanza akatumia laki tano. Milioni mbili na laki nane ikiwa imebaki.
Ahadi yake kwa kamati ilikuwa milioni moja na nusu ambayo alilipia advance ya ukumbi akawa amebaki na milioni moja laki nane. Maandalizi yake pamoja na ya bibi harusi mpaka sasa kabaki na pesa ya mbuzi.
Bajeti ya harusi milioni 20, Cash iliyopatikana mpaka sasa milioni 4. Kikao cha mwisho kitakuwa jumapili ijayo, jamaa kachanganyikiwa. Kachukuwa ukimbi wa kifahari, sijui itakuwaje. Nimemshauri hapo afanye bia moja na soda moja kama hali aitageuka.
Kwa nini watu wagumu sana kuchangia harusi siku hizi, mtawauwa maharusi kwa pressure.
Ndoa imekwisha andikishwa, ukumbi umelipiwa advance na mbaya zaidi mchumba wake mama kijacho.
Ningekuwa naoa tena coctail ingechukua nafasi. Tena nzuri sana executive na nisingechangisha mtu. Tunatesana na michango sana wakati majukumu mengi. Fanya pale mkono wako unafika.
alikosea yeyey tangia mwanzo wa maandalizi yake angetuona watu kama siye tungemshauri namna ya kufanya na kumpangia bajeti nzuri ya harusi yake na wala asingechanganyikiwa hivyo anavyochanganyikiwa
yeyey aliona fahari kukodisha ukumbi wa kifahari wakati kumbi nzuri za bei poa zipo tena zenye hadhi ya kimataifa angewaona wataalaam kama sisi tungeplania harusi yake viile atakavyo
mpe pole
Milioni sita ufanye harusi, are you f***** kidding me?
Jamaa alijiwekea takribani milion sita hivi akajiamini harusi yake itakuwa nzuri. Michakato ya mahari jamaa akamaliza kama milioni mbili hivi zikabaki nne. Akaitisha kikao cha ndugu wa karibu akatumia kama laki mbili, kikao cha kwanza akatumia laki tano. Milioni mbili na laki nane ikiwa imebaki.
Ahadi yake kwa kamati ilikuwa milioni moja na nusu ambayo alilipia advance ya ukumbi akawa amebaki na milioni moja laki nane. Maandalizi yake pamoja na ya bibi harusi mpaka sasa kabaki na pesa ya mbuzi.
Bajeti ya harusi milioni 20, Cash iliyopatikana mpaka sasa milioni 4. Kikao cha mwisho kitakuwa jumapili ijayo, jamaa kachanganyikiwa. Kachukuwa ukimbi wa kifahari, sijui itakuwaje. Nimemshauri hapo afanye bia moja na soda moja kama hali aitageuka.
Kwa nini watu wagumu sana kuchangia harusi siku hizi, mtawauwa maharusi kwa pressure.
umepotea sana mkuuu ulikuwa wapi ?
kweli huyo jamaa anashangaza sana tena sana yaani harusi tu 6ml angetuona watu kama siye tungemplania harusi yake vile atakavyo naye angeenjoy sana
Kwanini usifanye kitu kulingana na uwezo wako? Mii hii mambo ya kuchangia harusi ujinga mtupu. Mnamchangia mtu akapige kitu?
Mi mwnyw sichangii harusi cku hizi,watu wanaweka bajeti ya harusi kuuubwaaaaa kwa kutegemea michango ya watu akhaaa!wajitegeme!
watu wanacomplicate event wakati hela hawana mfyuuu
kuna harusi niliiona pale brajec mikocheni only 40 people walipendeza wenyewe
budget kubwa its not a big deal if at all there is financial constraint on either sides.
Kama ni kweli Mkuu, Mwambie awasiliane na hawa jamaaa info@gmconsultz.com wanaweza kumuandalia sherehe ya watu wasiozidi 250 kwa TZS 9m hutojutia wako organized isipokua watakutafutia ukumbi wa wazi (sio A/C) na Bonge la barbeque kama utataka. Nimehudhuria shughuli zao mbili walifanya pale princess Hall ilikua vzr saanaa.