achanganyikiwe vizur aseee,milion sita ni ndogo kufanya sherehe ????anataka makubwa sana awe chizi basi,hivi ukumbi million moja,nao utakuwa umeenda wa bei sana laki 8 tu unatosha,mapambo laki 4,keki zote 5 laki 2,gari ya kupanda bi/bwana harus pamoja na kama atataka matarumbeta laki 2 na nusu,mpiga picha na cameraman(video) laki 7 hizo zingine zinazobaki msosi na vinywaji ,harusi ni siku moja, tu why ufanye show??????huyo bwana harusi chizi ,mm ni mwanamke kama hataki kuoa kwa mbwebwe basi abebe mwanamke kimyakimya mkaeendee kuzin mwisho wa siku mtabariki ndoa kanisani,kama ni mwislam sijui taratibu zenu tena haitawakost,maana mnaenda tu kanisan jpili mbele ya watu wote mch/padri anawabariki