Jamaa alijiwekea takribani milion sita hivi akajiamini harusi yake itakuwa nzuri. Michakato ya mahari jamaa akamaliza kama milioni mbili hivi zikabaki nne. Akaitisha kikao cha ndugu wa karibu akatumia kama laki mbili, kikao cha kwanza akatumia laki tano. Milioni mbili na laki nane ikiwa imebaki.
Ahadi yake kwa kamati ilikuwa milioni moja na nusu ambayo alilipia advance ya ukumbi akawa amebaki na milioni moja laki nane. Maandalizi yake pamoja na ya bibi harusi mpaka sasa kabaki na pesa ya mbuzi.
Bajeti ya harusi milioni 20, Cash iliyopatikana mpaka sasa milioni 4. Kikao cha mwisho kitakuwa jumapili ijayo, jamaa kachanganyikiwa. Kachukuwa ukimbi wa kifahari, sijui itakuwaje. Nimemshauri hapo afanye bia moja na soda moja kama hali aitageuka.
Kwa nini watu wagumu sana kuchangia harusi siku hizi, mtawauwa maharusi kwa pressure.
Nimevaa shela lako safiii! bwana harusi suti nzuri ! tukienda kanisani baadaye hotel na ndugu zangu na marafiki wachache tunakula chakula cha pamoja na picha za ukumbusho baasi inatosha .Maisha mengine yaendelee
..wadada bhana, mnaandika tu kujifurahisha, ikifikia ule mda mtakavyohaha kutaka makuu..
nu wanawake wachache Sana wanaopenda "simple n' nice"..
Yako uta/uli kubali iwe ya watu 40 (20 upande wa mwanaume na 20 upande wa mwanamke?)..
I don't like simple and nice. BIGGER IS BETTER. AND BETTER IS BIGGER! !!!! Ukiridhika ridhika hovyo ndo utaishia kuendesha vistarlet wakati wenzio wanaendesha v8 lol😀
having money does not change you as a person you are still walking on the ground except you
are only capable of putting on better shoes
fyn kwani if i.m driving starlet you are driving v8 si will just reach at mlimani city ama what
does you statement imply?
My statement implies that IT FEELS BETTER TO CRY ON MERCEDES BENZ THAN ON A BICYCLE.
hahaha it feels better to cry on Mercedes lol
My statement implies that IT FEELS BETTER TO CRY ON MERCEDES BENZ THAN ON A BICYCLE.
Money can't buy happiness but poverty can't bring you happiness either
Ndo mana watu wanakondaga hadi mashela yanapwaya.
Unaandaa harusi ya gharama kubwa kwa kutegemea michango ya watu.