hahaaa kweli balaa,true love sijui iko wapi siku hizi
na hafai kwa kulumagia wala kutowezahafai msikitini wala kanisani......,
kwa kweli amejitahidi, mume wng mwenyewe anasema km ni yy sa izi angekuwa jela...hata sie tunajarib kuwa karib nae na tumemshauri asiache kaz lkn anaonekana kukata tamaa kbs..sijui labda siku zikipita atazoea
true love ipo ila kwa nadra sana,mtu anayependa mwenzake ingawaje mwenzake anamsaliti na ana mpenzi mwingine huyo ana true lovehakunaga true love siku hizi, labda enzi za mababu zetu
ina maana wa mbali wasiolewe? ni tabia tu ya mtu sio wote
yote 9 kumi mapenzi hayashauriki,unayakumbuka ya chris brown na rihhna mpk mahakamani wali[elekana mwishowe wamekuja kurudiana,usishangae kusikia akaja kurudiana na mkeweAdui mkubwa wa maisha ni kukata tamaa na msiruhusu hilo litokewe kamusi kwa huyo shemejio
Mpeni ushauri kabisa kuwa asiche kazi na akiacha kazi hiyo itakuwa ni balaa jingine kabisa na atakaa ndani muda mrefu alone na may be anaweza kujiingiza kwenye mabala mengine kabisa
Msimpe nafasi ya kuamua kuacha kazi hilo ndio la muhimu
Mpeni nafasi ya kukaa na nyie pamoja muda mwingi na hata outing aende na nyie kama familia yake na muondoe kabisa uwezekano wa kulizungumzia au kuzungumzia masuala ya usaliti kwa muda ila yawe maongezi ya kumpa moyo kwamba maisha lazima yaendelee na hakuna kurudi nyuma
hakufanya research vizuri huyu alikibilia j=kuoa wakati mtu tayari ana mpezi wake,ukiaka kumuoa mtu atleast mdumu katika upnzi na uchumba walau miezi 9kazi asiache yote ni majaribu,avumilie huku ikiwezekana amtafute demu wake wa zamani......awe anapunguza stress baada ya muda ita resolve tu hiyo hali!!KWA STAILI HII SIOI.........UNAOA WEWE WANAICHAPA WENGINE.MAJANGAAAAAAAAAAA
Jamani Jamani, dunia imekwisha,
Shemeji yangu (ndugu yake na mume wangu) ameoa mwishoni mwa mwezi April mwaka huu wa 2013 na harusi yenyewe ilifana sana...ilikuwa harusi ya kukata na shoka(naweza sema) kwa manjonjo yaliyokuwapo...kiukweli ilipendeza sana..
Lakini cha kusikitisha hivi majuzi tu huyu shemeji yangu amemfumania mke wake akiwa na mwanaume mwingine live..
Huyo shemeji yangu ni mfanyakazi wa bank hapa dar, na huyo mkewe ni mwalimu huko mkoani, kwa hivo baada ya kufunga ndoa na honeymoon kumalizika wife akarudi kazini kwake, na Mr akaendelea na kazi kama kawaida huku akihangaika kutafuta uhamisho wa mkewe aje jijini dar, au ikishindikana yeye ahamie huko mkoani alipo mkewe..
shemeji yangu alikuwa akienda huko alipo wife au mkewe anakuja dar wanapopata nafasi..Sasa siku moja shemeji yangu akaamua kwenda kwa mkewe kwa supraise, hakumwambia wife kama anaenda..alifanya hivyo ili kumfurahisha mkewe na kuongeza mapenzi kati yao hakujua kuwa atakutana na msiba badala ya furaha aliyotegemea..yeye anasema hakuwa anamhisi mkewe chochote na wala hakuwahi kufikiria kama mkewe anamsaliti
shemeji yangu huyu akaenda shopping ya nguvu kamnunulia wife zawadi, nguo, na makochokocho kibao..bila kusahau shoping ya vyakula mbalimbali...huyoo akawasha gari kwenda kwa wife kimya kimya bila kumwambia kama anaenda..akitegemea kumfurahisha mkewe na yeye mwenyewe kufurahi,...alipofika ilikuwa jioni mida ya saa 12 ivi jua halijazama na milango ilikuwa wazi (imerudishiwa tu haijafungwa) akaingia hadi chumbani akiwa na hamu ya kumuona mke wake kwa surprise na kupokelewa mazawadi aliyobeba..
Ghafula kuingia chumbani akakuta sinema live, wife akiwa na mwanaume mwingine wako bize kitandani...HEEE..LA HAULA..SHEMEJI YANGU NUSURA acolapse..lkn alijikaza kiume huku akitumbua macho asiamini kinachotokea...na wao kuona hivo wakasitisha zoezi na kubaki wanatumbua macho...uzuri shemeji yangu hakukurupuka kwa hasira na kuanza kuleta vurugu lkn alitoka nje na kuwafungia ndani na kuita majirani...walipofika wakakuta wameshavaa nguo huku bi harusi akilia na kuomba msamaha sana...
mbele ya majirani wazee waliwaambia kila mmoja aandike maelezo na kuweka sahihi yake akikiri kufumaniwa ambapo wote walifanya hivo na shemeji yangu naye akaandika maelezo jinsi alivyowakuta na wakasaini wote...
shemeji yangu akaondoka hapo nyumbani na kwenda kulala hoteli akisubiri kesho yake arejee dar.. ndipo alipowapigia simu ndugu zake na kuwaeleza alichokikuta na hatua waliyofikia ya kuandikisha na wote wakasaini..mpaka hapo alikuwa hajamuuliza wife wake chochote na wala hajamsemesha huyo mgoni wake..walipoandika maelezo na kusaini akawashukuru wazee na kuondoka zake...
kufika dar ndugu wameitisha kikao na mwenye mke amesema ndoa imefikia ukingoni wala hataki kikao na ndugu za mke wake wala hataki kumwona huyo mwanamke tena.(labda ni hasira baada ya muda zitapungua) ila imemdisturb sana..
huyu shemeji yangu kwa sasa hapendi kusocialize kama zamani,muda mwingi yuko peke yake, amekonda ghafla, sijui hali chakula, kazi anataka kuacha japo hajapata kazi nyingine (anaona aibu jinsi watu walivyohangaika kumchangia) leo hii hata miezi 6 haijafika ndoa imevunjika..
Kwa nature yake ni mchangamfu sana, lkn siku hizi amekuwa mkimya sana..ninaamini atakuwa anaumia sana ndani kwa ndani...
sijui tufanyeje katika kumsaidia maana kwa jinsi alivyo anaweza kucomit hata suicide, mawazo yenu jaman
Dah! ndo faida za wazungu waliotuletea suprise.
"Udhungu" noma suprise waachie wenyewe. We ukikaribia home kama kutoa taarifa imeshindikana jaribu basi hata kumtuma mtoto atangulize zawadi home basi.
aaah, sasa akishamsaliti si ndio vile tenatrue love ipo ila kwa nadra sana,mtu anayependa mwenzake ingawaje mwenzake anamsaliti na ana mpenzi mwingine huyo ana true love
Jamani vijana tuwe makini sana,hawa mademu wa siku hizi majanga tu,sasa kuna vitu ujatueleza kwani uyo shemeji yako alikaa nae uyo demu kwenye mahusiano kwa mda gani?,na wakati wa uhusiano wao je,uyo wifi yako alikuwa anaishi ukouko kazini kwake au ilitokea tu akaamishiwa uko kikazi baada ndoa?.Ushauri wangu kwa uyo jamaa hasa kwa nyinyi ndugu zake,fanyeni yafuatayo;kama ana uwezo mpelekeni nje ya nchi au mpelekeni mbugani uko,yaani asiwe katika environment aliyoizoea.Na atakapokuwa uko hakikisheni mnampatia vitu anavyovipenda sana au rafiki yake waliyeshibana ndiye aongozane naye.Otherwise wengine huwa wanajiua....
Mpe pole shem wako
yote 9 kumi mapenzi hayashauriki,unayakumbuka ya chris brown na rihhna mpk mahakamani wali[elekana mwishowe wamekuja kurudiana,usishangae kusikia akaja kurudiana na mkewe
dada sikiliza...tatizo wanadamu tunajidahi tuna hekima kuliko Mungu. Mungu hakuwa mjinga kusema kuwa mume na mke wataacha wazazi wao na kwenda kuishi pamoja. nilishasemaga the sole prupose ya relationship ni intimacy...sasa intimacy utaipataje watu wapo miles away? mambo madogo kama kivile nakupenda huku anakuangalia...mara kaushika mkono anaupetpet mara hivi hayo ndio mambo ya relatyionships and forget not....sex is the ultimate form of intimacy baina ya mume na mke altho kwa sasa we have stripped the true meaning of sex kwa kuwa tunagegedana hovyo hovyo like dogs.
kuna Dr.mmoja ni lecturer UDSM anaitwa Chris Mauki,nafikiri ni Psychologist mzuri,atamsaidia
Adui mkubwa wa maisha ni kukata tamaa na msiruhusu hilo litokewe kamusi kwa huyo shemejio
Mpeni ushauri kabisa kuwa asiche kazi na akiacha kazi hiyo itakuwa ni balaa jingine kabisa na atakaa ndani muda mrefu alone na may be anaweza kujiingiza kwenye mabala mengine kabisa
Msimpe nafasi ya kuamua kuacha kazi hilo ndio la muhimu
Mpeni nafasi ya kukaa na nyie pamoja muda mwingi na hata outing aende na nyie kama familia yake na muondoe kabisa uwezekano wa kulizungumzia au kuzungumzia masuala ya usaliti kwa muda ila yawe maongezi ya kumpa moyo kwamba maisha lazima yaendelee na hakuna kurudi nyuma