Bwana harusi amfumania mkewe live miezi 3 tu baada ya ndoa

KUHUSU HATIMA YA NDOA
7.kwa sasa mwacheni mume apumuzike,huyo mke na ndugu zake waelezeni kuwa kwa sasa si mda muafaka wa kuzungumzia hatima ya ndoa wakati ambapo mmoja ana maumivu makali na msongo wa mawazo.
Wamuache kwanza mpaka mawazo yapungue ndio mukae muongee kwa sasa hamtapa kuelewana na zaidi mda huu ni wa kumrudisha mume ktk hali ya kawaida.
 
ni kweli hakuna vikao, mume na ndugu zake wamekataa sbb huyu ana mastress sana, na pia hataki kbs kumuona huyo wife wake..kwa kifupi hataki kumrudia kbs
 
Kuna jamaa mmoja huwa akitongoza mwanamke yeyote LAZIMA amkubali!Niliwahi kumuuliza inakuwaje kwani hata hela hana,alichoniambia kilinifanya nishangae sana!Anatumia mzizi ambao huutafuna wakati anamsomesha demu.Anasema alipewa na nyanya ake.Huutumia kwa wake za watu warembo na wenye nazo.Nashauri huyo ndugu yenu iwapo ni mkristo,asamehe ili Mungu ampe neema zake.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
hahah unaonekana mbaya kwa ushauri wako mzuri ulioutuoa

mambo ya ndoa ni magumu, wapendanao hurudiana somtimes na kusameheana, ni bora kumliwaza tu siku ziende asahau kuliko kupigilia msumari amuache afu badae wanapatana unabaki na aibu...
 
Kuna jamaa mmoja huwa akitongoza mwanamke yeyote LAZIMA amkubali!Niliwahi kumuuliza inakuwaje kwani hata hela hana,alichoniambia kilinifanya nishangae sana!Anatumia mzizi ambao huutafuna wakati anamsomesha demu.Anasema alipewa na nyanya ake.Huutumia kwa wake za watu warembo na wenye nazo.Nashauri huyo ndugu yenu iwapo ni mkristo,asamehe ili Mungu ampe neema zake.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

mmh kwa ivo inawezekana kuna ushirikina, he makubwa
 
Waambie hao ndugu wanaosema asingemshutukia kuwa hawamtakii mema, angeanza kuugua magonjwa ya kupitia ngono wangesema hivyo?

wewe kama shemeji yake kuwa nae karibu, mpigie pigie kumsalimia na mume na afanye hivyo mumchangamshe na kumfuatilia.

kweli ni aibu, alafu imagine unaacha mabinti wote wa benki unaenda kuoa mbali etc so atakuwa anauumia na wao watamuonaje hao wafanyakazi wenzake etc

Huyo binti ni bora amekamatwa angemuua bure, na eeehh mume wa mtu atamu kiakili tu sasa atajuta haswa.

si bora hata yupo mkoanni mbali.
 
Kamusi:

Awali ya yote mpe pole yake bwana shemeji kwa hiyo sinema aliyoshuhudia.

Pili; shemeji yako anahitaji sana kuwa karibu na watu wake wa karibu hasa wazee wenye busara, na kama ni muumini wa dini, basi awe karibu sana na viongozi wa dini kwa ajili ya kutibiwa hilo jeraha kiroho kwani kwa sasa uwezo wa akili yake hauko sahihi na yeye kufanya kitendo cha ajabu kama kujidhuru kipo karibu sana.

Tatu, kama anahishi peke yake basi anahitaji kuwa na mtu wa karibu sana kwake kwake 'kwa sasa atakuwa anasikia sauti za ajabu ajabu zikimwambia afanye ujinga' kama suluhu ya matatizo yake.

Mwisho, kuteleza si kuanguka na Muumba amtupi mja wake.

wasalaam,

Shadow.
 
Kwanza shemeji yako amshukuru Mungu kwa nguvu aliyomjalia. Hakufanya fujo. Wengi humuJF wangekuwa mahabusu wakikabiliwa na kosa la kuua bila kukusudia. Pili kama kuna rafiki zake wa kiume na kike unaowajua wawe wanampa company sana mpaka akubaliane na hali yake. Na wa kwanza uwe wewe, uwe unamjulia hali mara kwa mara. It takes time ila ni ukweli itabidi akubaliane nao tu. Atapata mke mwingine, huyo hakuwa riziki.
 
yaani we acha tu, haya mambo mengine bora uyasikiage tu, usiombe yakukute
 
Kwanza shemeji yako amshukuru Mungu kwa nguvu aliyomjalia. Hakufanya fujo. Wengi humuJF wangekuwa mahabusu wakikabiliwa na kosa la kuua bila kukusudia. Pili kama kuna rafiki zake wa kiume na kike unaowajua wawe wanampa company sana mpaka akubaliane na hali yake. Na wa kwanza uwe wewe, uwe unamjulia hali mara kwa mara. It takes time ila ni ukweli itabidi akubaliane nao tu. Atapata mke mwingine, huyo hakuwa riziki.

tunajitahidi kumpigia pigia ila sometimes hapokei hata cm, kwa kifupi hayuko normal...tukimualika home dina haji inabidi tumfuate kwake, yaani ni tab tupu
 
Kamusi:

Awali ya yote mpe pole yake bwana shemeji kwa hiyo sinema aliyoshuhudia.

Pili; shemeji yako anahitaji sana kuwa karibu na watu wake wa karibu hasa wazee wenye busara, na kama ni muumini wa dini, basi awe karibu sana na viongozi wa dini kwa ajili ya kutibiwa hilo jeraha kiroho kwani kwa sasa uwezo wa akili yake hauko sahihi na yeye kufanya kitendo cha ajabu kama kujidhuru kipo karibu sana.

Tatu, kama anahishi peke yake basi anahitaji kuwa na mtu wa karibu sana kwake kwake 'kwa sasa atakuwa anasikia sauti za ajabu ajabu zikimwambia afanye ujinga' kama suluhu ya matatizo yake.

Mwisho, kuteleza si kuanguka na Muumba amtupi mja wake.

wasalaam,

Shadow.

da umetoa ujumbe mzito sana, tunashukuru, kwa ss anaishi peke yake tu itabidi tumtafutie kijana akmpe kampani labda itasaidia, asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom