hapikisanga
New Member
- Jul 23, 2012
- 4
- 1
Dah jamani so sad
ndio ni mtu wake wa siku nyingi inasemekana..lkn ni mume wa mtu
ndo hivo kila mtu anapenda harusi ila ndoa walaaa hawana habari nazoSmile.. huyo dada hapendi ngono sema anampenda huyo aliekutwa nae anafanya ngono.. Lazima atakuwa ni mtu wake wa siku nyingi.. Haya ndio matatizo ya kuoa/kuolewa bila ya mahaba ya dhati..
Mapenzi ya bongo ukitaka kujiua na pressure we fanya hizo surprise..........!
Huyo jamaa anahitaji watu wakumshauri tena wenye ndoa zao/au wataalam wa mambo ya ndoa na ikiwezekana hata kiroho zaidi la sivyo atapotea au hata kuwa na roho ya kuua!!!!!!!
Ametendwa aiseeeeeee.........
ndo hivo kila mtu anapenda harusi ila ndoa walaaa hawana habari nazo
nilitaka nishangae usicomment hii kitu mana ww huwa huamini ktk mahusiano ya watu kuwa mbali mbalisafi kabisa alivyofanya huyo mwanamke...mijanaume mingine haina akili...wee uoe alafu mke arudi mkoani maana yake nini? mwanamke kuombwa k na kugevedwa dio hulka yake sasa y umpe mazingira ambayo hago yanaweza tokea? imekula kwake kwa uninga wake mwenyewe.
ahahaaa kweli aisee hata kwetu bush wazee wengi wanaimba sanaKwetu usukumani, mzee akitoka kunywa pombe au safari anatanguliza mabegi home au akakaribia home anaanza kuimba nadhani ilikuwa na maana sana (walikuwa wa alert kinyamkera chochote kama kipo nyumbani kikimbie ili mzee wa watu asi-collapse), surprise za namna hiyo zaweza kukuua.
huyo mtaalam anapatikana wapi aisee, ni wazo zuri ngoja tulifanyie kazi
nilitaka nishangae usicomment hii kitu mana ww huwa huamini ktk mahusiano ya watu kuwa mbali mbali
Unapooa sio kuwa huyo mwanamke hakuwa na mtu ila amekupa maksi za juu kuliko wengine.La muhimu jamani hizi ndoa za kuishi Dar Mke Dodoma mwisho ni hivyo hata yeye ni binadamu anaweza akapitiwa na akakukmbushia na zaidi yuko free na mbaya zaidi haina makombo!!!!!!!
ndo hivo kila mtu anapenda harusi ila ndoa walaaa hawana habari nazo