Bwana harusi amfumania mkewe live miezi 3 tu baada ya ndoa

Zamani sisi wazee wenu ilikuwa tukirudi toka safar tulikuwa tunafikia kwa jiran kisha namtuma mtoto wa jiran atangulize mizigo nyumban. Ndipo mama kama alikuwa na mtu anajiweka sawa! Vijana cku hizi wanapenda surprise

kijana wazamani hapo nimegain leo, hiyo shule
 
Mimi kwa hasira nilizonazo!

Mmmh! Naomba Mwenyezi Mungu aniepushie matattizo kama haya!

Nami Ntajiepusha na mambo kama haya nisijekuja kummumiza mke wangu!

Ila nikikamata mtu......!
 
duh!! asingewaambia watu kwanza, shem wako nae kaharakisha sana. ndoa hizi jamani!! mmmmh.
 
Huyo shemeji yako naendeleaje sasa hivi? Na mkewe yuko wapi?

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom