Bw. Mohammed Said yuko wapi?

Bw. Mohammed Said yuko wapi?

Kuna watu wajinga kama Mohamed Said, hawajui misingi iliyojengwa hadi Tanzania ikaitwa kisiwa cha amani...wanadhani amani hiyo ilishushwa tu kama manna kutoka mbinguni. Sasa wasubiri kuvuna walichokuwa wakikitafuta...kuna "red line" haikutakiwa kuvukwa! Wafuasi wake vipofu kama zomba, Ritz na wengineo kama kweli maji mmeyavulia nguo, sasa mkae tayari kuyaoga. Nina hakika wako Waislaam wengi tu wanaungana na wazalendo wa kweli wa taifa hili wasiokubaliana na haya matendo yenu ya kihuni kwa kutumia kivuli cha dini...enough is enough!
 
Unajuwa Wakristo wangekuwa wavivu wa kufikiri na ingekuwa ni jamii Duni basi wangesema Umaskini wao umesababishwa na Waislamu maana kina Yusuph Manji, Mohamedi Dewji and likes wote au wengi wao ni Waislamu, kinachonishangaza mimi ni hawa Waislamu wa Sunni na Wahabi mpaka sasa hawajui hasa tatizo lao ni lipi.
 
Mohamedi Said asiachwe kwenye huu mtafaruku ndio wafadhili wa kina ponda.
 
Unajuwa Wakristo wangekuwa wavivu wa kufikiri na ingekuwa ni jamii Duni basi wangesema Umaskini wao umesababishwa na Waislamu maana kina Yusuph Manji, Mohamedi Dewji and likes wote au wengi wao ni Waislamu, kinachonishangaza mimi ni hawa Waislamu wa Sunni na Wahabi mpaka sasa hawajui hasa tatizo lao ni lipi.

Hujui unachoongea wewe ukisikia watu wanaongea wewe unadakia tu wahabi nini? Unajua maana ya neno wahabi?
 
Kuna watu wajinga kama Mohamed Said, hawajui misingi iliyojengwa hadi Tanzania ikaitwa kisiwa cha amani...wanadhani amani hiyo ilishushwa tu kama manna kutoka mbinguni. Sasa wasubiri kuvuna walichokuwa wakikitafuta...kuna "red line" haikutakiwa kuvukwa! Wafuasi wake vipofu kama zomba, Ritz na wengineo kama kweli maji mmeyavulia nguo, sasa mkae tayari kuyaoga. Nina hakika wako Waislaam wengi tu wanaungana na wazalendo wa kweli wa taifa hili wasiokubaliana na haya matendo yenu ya kihuni kwa kutumia kivuli cha dini...enough is enough!

Wewe si mfuasi wa Dr Slaa.
 
Nimeibandika kama ilivyo nilipoitoa, na mimi naisoma sawa tu na kama posts zingine zote, unapedekeza fonts zipi? au unaweza kuboya "reply with quote" ukakui edit kwa font unayoipenda ukaisoma, ukimaliza uka cancel kui post.

Courier New - Nadhani ndio wanabadilisha HABARI na kutumia hiyo FONT na SIZE wanaweka 4; NI MODS wa JAMII FORUMS huwa wanabadilisha - Sasa MIMI nikiweka HABARI yoyote huwa na BADILISHA FONTS; COURIER NEW ni bora MACHO hayachoki Hama HII FONT...
 
Wewe si mfuasi wa Dr Slaa.
Ritz, kwa ufahamisho tu mimi si mfuasi wa Dr. Slaa, mimi nalichukia genge hili la wezi lililokamata madaraka ya nchi, CCM. Yawezekana kwa msimamo wangu huo sipishani sana na msimamo wa Dr. Slaa lakini kwa mara nyingine naomba nikuhakikishie kuwa mimi si Chadema ila nakubaliana nao kwa kudai na kutetea maslahi ya wananchi na mali zao. Kama kwa kufanya hivyo utanibatiza Chadema, so be it!

Kwa msingi huo nachukia genge lingine la kihuni linalojaribu kuhatarisha amani ya taifa langu kwa kivuli cha dini, Uislaam. Kama kwa kufanya hivyo uko tayari kunibatiza Mkristo so be it! Ila nina hakika wapo pia Waislaam wema wengi tu watakaoniunga mkono kwa msimamo wangu huo. Niko tofauti na wewe Ritz unayekaa kimya CCM ikiitafuna nchi na wahuni wakiivuruga amani ya nchi kwa kivuli cha dini!
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana nakuambia sio kila unachokisikia unaropoka hujui wahabi ni nini... Tanzania hakuna Mufti.
Na yule Sheikh Shabaan Simba ni nani? na ni kwa nini mlitaka kwenda kumng'oa mtu ambaye hayupo? I can't believe it.
 
Ritz, kwa ufahamisho tu mimi si mfuasi wa Dr. Slaa, mimi nalichukia genge hili la wezi lililokamata madaraka ya nchi, CCM. Yawezekana kwa msimamo wangu huo sipishani sana na msimamo wa Dr. Slaa lakini kwa mara nyingine naomba nikuhakikishie kuwa mimi si Chadema ila nakubaliana nao kwa kudai na kutetea maslahi ya wananchi na mali zao. Kama kwa kufanya hivyo utanibatiza Chadema, so be it!

Kwa msingi huo nachukia genge lingine la kihuni linalojaribu kuhatarisha amani ya taifa langu kwa kivuli cha dini, Uislaam. Kama kwa kufanya hivyo uko tayari kunibatiza Mkristo so be it! Ila nina hakika wapo pia Waislaam wema wengi tu watakaoniunga mkono kwa msimamo wangu huo. Niko tofauti na wewe Ritz unayekaa kimya CCM ikiitafuna nchi na wahuni wakiivuruga amani ya nchi kwa kivuli cha dini!

Mag3,
Wewe mbona umenibatiza mie mfuasi wa Mohamed Said, sijasema kitu pitia mabandiko yangu sikubaliani na fujo zozote za kidini wala dini yangu Uislam haina mafundisho ya kuchoma makanisa wala kupora mali za watu huo ndio msimamo wa Ritz, ni hiari yako kuniweka popote upendapo.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe unaongelea Mufti wa Bakwata.
Hapa ndipo huwa nashindwa kuwaelewa nyinyi viumbe, mnashindwa vipi wote kuingia Bakwata na kufanya mabadiliko mnayoyataka? Bakwata itakuwa chombo bora kivipi wakati nyinyi wahusika mko pembeni na kazi yenu ni kuinyooshea kidole tu? If can't beat them then join them.
 
Mohamed said, atabaki kuwa mwanahistoria mwenye kumbumbuku sahihi kuhusu Tanganyika (Tanzania ya sasa)pamoja na kusemwa sana na wasiopenda ukweli lakini mzee huyu anaeleza mambo mengi ya msingi.
 
Mohamed said, atabaki kuwa mwanahistoria mwenye kumbumbuku sahihi kuhusu Tanganyika (Tanzania ya sasa)pamoja na kusemwa sana na wasiopenda ukweli lakini mzee huyu anaeleza mambo mengi ya msingi.
Historia ni kitu kimoja na uchochezi kwa kutumia historia ni jambo jingine.

Tunamwalika Mohamed Said ili aje atufafanulie yale waliyoongea na profesa kuwa '' Tanzania is another Rwanda in the making'' je ndio wakati wake umefika?

Tunamsihi aje hapa afafanue kuhusu uchochezi wa kidini ambao tulimuuliza hakuweza kujibu. Je, haya ndiyo aliyokuwa anataraji au alimaanisha kitu kingine?

Kwa vyovyote iwavyo Mohamed Said ni kiungo muhimu sana katika vurugu zinazoendelea au zitakazotokea.
Ima ajitokeze kutufahamisha tusipomwelewa au ajifiche.
Kitu cha muhimu ni kuwa tunakumbu kumbu zake na tunazidurusu.

Mohamed Said uko wapi?
 
Kapanda SPEED BOAT yuko YEMEN?

Kama ulikuwepo mwaka 1964 utajuwa kuwa Waingereza waliomuokoa Nyerere kwa kumrudisha madarakani baada ya uasi wa jeshi yalitokea huko.

Hiyo ndiyo ilikuwa sababu kubwa ya Nyerere kuwaacha "maguoguo" mababa zao kina "Saidi Mahonda" mmiliki wa Home Shopping Center, wamahara, kuingia Tanzania bila viza wala kuuulizwa wanalipa wapi kodi na wakaahidiwa kuwa hata biashara yao wakigawa bure Serikali itwalipa, ndiyo maana hao "maguoguo" wakawa wanakopesha watu hawawajui ndee wala sikio na bila dhamana. Waliokuwepo miaka ya maguoguo Tanzani watathibitisha hili.

Vijana mnaiona tu Tanzania na mnadangnywa wala hamuijui ilikotoka, ulizeni ukweli, muuelewe. Mna kila sababu ya kuuliza kwanini? fulani yuko hivi, fulani yuko vile.
 
Back
Top Bottom