Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mpasuko CCM!? Ni ziara ya HOVYOOO! Mzee Butiku amvaa vikali Mwenezi wa chama cha CCM Kenani Kihongosi na ziara yake huko mikoani.
Takribani karne mbili zilizopita, Thomas Jefferson alisema jambo moja la maana sana: “In matters of style, swim with the current; in matters of principle, stand like a rock.”
Mkuu umewekewa hadi video au huna bando.Hyo taarifa iko wapi
Ni mmoja? Hata Mwingulu mbona anafanya hivyo hivyo. Na mbaya zaidi wanaongea mambo ya kijinga, ya kuzidi kukasirisha wananchi.Hapa Bujiku kasema kweli watu wako msibani, Mkiti wako bado anahangaika kujisafisha wewe unazunguka mitaani kuongea nini utaongea nini, no ziara ya kijinga.
CCM inaandaa vijana wa hovyo kabisa, Mwigulu, Kihongosi, Makonda waste.nilishasema ccm imeshajifia kama kenani ndo katibu mwenezi ninayajua mengi sana siku nikianza kuandika thread hapa JF ita holdiwa na wahuni tena
Hapa amerudi kwenye msitari.Mpasuko CCM!? Ni ziara ya HOVYOOO! Mzee Butiku amvaa vikali Mwenezi wa chama cha CCM Kenani Kihongosi na ziara yake huko mikoani.
View attachment 3531914
Kucheleeee 💪🏿✌🏿✌🏿✌🏿 Nao wamechoka sasa!Mpasuko CCM!? Ni ziara ya HOVYOOO! Mzee Butiku amvaa vikali Mwenezi wa chama cha CCM Kenani Kihongosi na ziara yake huko mikoani.
View attachment 3531914
Naona Butiku akili zimeanza kumrudi baada ya jana Warioba kubagazwa na Kihongozi.Kucheleeee 💪🏿✌🏿✌🏿✌🏿 Nao wamechoka sasa!
CCM Kwa maigizoMpasuko CCM!? Ni ziara ya HOVYOOO! Mzee Butiku amvaa vikali Mwenezi wa chama cha CCM Kenani Kihongosi na ziara yake huko mikoani.
View attachment 3531914