Butiku aibuka tena:Anasema Tanzania imekosa viongozi wawajibikaji

wakati Yule Kahaba Analetwa Mbele Ya Bwana Waliomleta Wakaulizwa Kama Mkosafi Basi Mmoja Wenua Aanze Kunyanyua Jiwe Kumrushia Kahaba Huyu Hakika Wote Waligeuka Na Kuondoka::::strong
strong Strong
(wacheni Wafu Wzike Wafu Wao; Butiku Washa Moto Tuko Nyuma Yako Baba.....kama Mnajua Madhambi Yake Washa Mooto Jf ...watu Waupakue Mchele Na Pumba Jamani...ukilika Lazima Aende Basi Tumwngeze Kwenye List Ya Mafisadi
 
Mkuu Kalamu,

Hiyo choice ni kwa kila mtu hapa JF, yaani na wewe you can take ya kwangu or leave it, ndiyo maana ya debate mkuu I can take BS you know that,

Barua ya Butiku, aliaandika kwa hasira ya Salim mgombea wake kukosa nafasi, na sio uchungu kwa taifa, ndio maana tunasema rekodi haiko upande wake huwa ni mtetezi wa tumbo lake, na anapiga makelele mengi ambayo ni debe tupu,

Ninaheshimu anachojaribu, lakini ninachoshwa na the same song kila siku, wanaume kina Dr. Slaaa husema mara moja na mbingu zinaanguka, either yuko na mafisadi au aseme facts, tule nao sahani moja,
As for my "misery" usiwe na wasi wasi ukipewa kikubwa na Mungu as I do basi na responsibility zinakuwa kubwa na it is being taken care off, kuhusu msimamo wangu mimi unaeleweka ndio mmaana imekuudhi sana kwa sabau hutaki responsibility kuwa sisi wananchi kuwa ndio hasa tunahusika na hili la kuwafichua viongozi wezi, sasa unataka tuwalaumu viongozi tu, hilo ninalikataa ninatumia jina moja Field Marshall ES, na ninazikata ishus kiroho mbaya ndio maana kuna wivu sana sana toka kwa vilema wa akili hapa JF lakini sio kwa vichwa wengi hapa pia, lakini bure ninasonga mbele na ninaendeleza libeneke hapa JF na siku zote ninasimama kuhesabiwa, sifuati upepo, ahsante Lunyungu kwa kuelewa msimamo wangu ulipo,

Butiku, anajua details ya anyoyasema sasa aseme ukweli wazi tuchanganue, mambo ya mikingamo tumechoka, Jf ni uwanja mkubwa huu hatuwezi ku-dwell on viongozi wezi tu, hizo hata mtu wa kawaida anweza kusema isisemwe kwenye media, ila yeye inaandikwa kwa sababu ni Butiku, aseme ukweli anaujua anashindwa nini kusema maana viongozi wote siku hizi hawamtaki anyways, majuzi alienda kwa kiongozi mmoja fisadi wakamfukuza kila anakokwenda siku hizi viongozi wa CCM wanamfukuza, sasa anangoja nini? Kama the idea ilikuwa kuwa-blackmail ameshindwa wamemshitukia hawamtaki, sasa anasubiri nini kusema ukweli wote au kuingia upinzani tujue moja? Maana CCM hawatamchukua tena na ameshaambiwa, sasa aseme ukweli,

Mwisho uchungu na taifa letu sio lazimawote tuwe na msimamo, wa upinzani, siasa za one way street hatuna dunaiani tena, siku hizi kuna siasa za accomodation yaaani stck and carrot, ndio maana Zitto yuko kwenye kamati ya serikali yamadini kwa kuchaguliwa na rais wa CCM, get that man siasa za kiazamani zimeisha, siasa ni two ways mkuu1

And I love it baby, lete maneno Kalamu maana unanifanya angalau niandike kwa kufikiri, lete mkuu tuvine maana ndio hasa maana ya kuwepo hapa kuweka mawe
 
Mkuu Kalamu,

Hiyo choice ni kwa kila mtu hapa JF, yaani na wewe you can take ya kwangu or leave it, ndiyo maana ya debate mkuu I can take BS you know that,

Barua ya Butiku, aliaandika kwa hasira ya Salim mgombea wake kukosa nafasi, na sio uchungu kwa taifa, ndio maana tunasema rekodi haiko upande wake huwa ni mtetezi wa tumbo lake, na anapiga makelele mengi ambayo ni debe tupu,

Ninaheshimu anachojaribu, lakini ninachoshwa na the same song kila siku, wanaume kina Dr. Slaaa husema mara moja na mbingu zinaanguka, either yuko na mafisadi au aseme facts, tule nao sahani moja,
As for my "misery" usiwe na wasi wasi ukipewa kikubwa na Mungu as I do basi na responsibility zinakuwa kubwa na it is being taken care off, kuhusu msimamo wangu mimi unaeleweka ndio mmaana imekuudhi sana kwa sabau hutaki responsibility kuwa sisi wananchi kuwa ndio hasa tunahusika na hili la kuwafichua viongozi wezi, sasa unataka tuwalaumu viongozi tu, hilo ninalikataa ninatumia jina moja Field Marshall ES, na ninazikata ishus kiroho mbaya ndio maana kuna wivu sana sana toka kwa vilema wa akili hapa JF lakini sio kwa vichwa wengi hapa pia, lakini bure ninasonga mbele na ninaendeleza libeneke hapa JF na siku zote ninasimama kuhesabiwa, sifuati upepo, ahsante Lunyungu kwa kuelewa msimamo wangu ulipo,

Butiku, anajua details ya anyoyasema sasa aseme ukweli wazi tuchanganue, mambo ya mikingamo tumechoka, Jf ni uwanja mkubwa huu hatuwezi ku-dwell on viongozi wezi tu, hizo hata mtu wa kawaida anweza kusema isisemwe kwenye media, ila yeye inaandikwa kwa sababu ni Butiku, aseme ukweli anaujua anashindwa nini kusema maana viongozi wote siku hizi hawamtaki anyways, majuzi alienda kwa kiongozi mmoja fisadi wakamfukuza kila anakokwenda siku hizi viongozi wa CCM wanamfukuza, sasa anangoja nini? Kama the idea ilikuwa kuwa-blackmail ameshindwa wamemshitukia hawamtaki, sasa anasubiri nini kusema ukweli wote au kuingia upinzani tujue moja? Maana CCM hawatamchukua tena na ameshaambiwa, sasa aseme ukweli,

Mwisho uchungu na taifa letu sio lazimawote tuwe na msimamo, wa upinzani, siasa za one way street hatuna dunaiani tena, siku hizi kuna siasa za accomodation yaaani stck and carrot, ndio maana Zitto yuko kwenye kamati ya serikali yamadini kwa kuchaguliwa na rais wa CCM, get that man siasa za kiazamani zimeisha, siasa ni two ways mkuu1And I love it baby, lete maneno Kalamu maana unanifanya angalau niandike kwa kufikiri, lete mkuu tuvine maana ndio hasa maana ya kuwepo hapa kuweka mawe

Maneno haya ni lazima wana JF tuyazingatie. Kweli tunapashwa kuwa na siasa za maslahi ya Taifa na si Chama wala mtu .
 
Mkuu Lunyungu, tuendelee na kumkoma nyani, jana nilikuwa kwa mama migiro, duh! yaaani siasa kubwa mwanangu, kazi yangu siku zote ni kuiwakilisha JF kwenye high places mkuu, yes huwa ninaiwakilisha JF ipasavyo ngoja kwanza ni-diggest siasa za kimataifa, halafu nitazimwaga hapa JF.
 
Maneno haya ni lazima wana JF tuyazingatie. Kweli tunapashwa kuwa na siasa za maslahi ya Taifa na si Chama wala mtu .

Lunyungu,

NImefurahi kusoma maneno yako hayo, ni mara chache sana naona mnakuwa upande mmoja wa shilingi na FMES. Haya ndiyo tunayotaka wengine, mtu akisema ukweli, ni kuukubali hata kama huyo mtu au chama hukubaliani nacho kwenye mambo mengi.

Hongera wakuu kwa hili. Tuendelee kuangalia hoja na wala sio mtoa hoja.
 
Unajua ndugu Mtanzania .Wewe hapo London unakaa na watu na si wote wanao kupenda amna unao wapenda ama hata kule kazini kwako maana wewe Engineer .Lakin kwa kuwa uko kazini huwa unfanya yale yanayo faa hata kama limefanywa na mshenztu tu lakini akifanya vyema kubaliana si kwamba umeshindwa hapana kukubali mtu akifanya kitu ndiyo maisha .Mimi sina ugomvi namtu hapa ila huwa hapendwi mtu kwa maana ya kwamba nimshabikie hapana . Akisema zito ambalo silijui na lika make sense lazima nikubali .Kubishana kwa maana ya kubishana hapa.Again mimi mtu yeyote akimwaga point nikaiona basi nakubaliana naye hata kama ni Masatu nitakubaliana naye ili mradi nione kasimamia ukweli .
That is me .
 
Mtanzania,

Heshima mbele, cha muhimu sio upande bali hoja, ukiangalia kwa makini wanaokimbia hoja na kuleta viroja hapa Jf huwa wanakimbia vivuli vyao wenyewe, yaani their NONESENSE, tunakataa utwana kutoka serikali ya CCM, sasa wengine wanataka kuu-impose huo huo utwana humu JF, that is pathetic!

Hapa Jf tuko wananchi huru, na some of us kama mimi huwa hatutishiki na lolote maana tumeona mengi sana kwenye maisha, kwenye hoja huwa hakuna noma, ila personal ni pure shalllow mind maana kisheria no matter what hakuna anayemjua mwingine hapa, I can say anything I want kuhusu member hapa au location, lakini kisheria ni kufurahisha baraza tu, au kujaribu kuua hoja nzito, ukweli bado hoja inatakiwa ijibiwe kwa hoja, na kwa mwendo huo hapa forum hapawezi kuwa na tatizo,

Tatizo ni hoja inapojibiwa na "Personal" ambazo sio za kweli then the whole meaning ya debate inapotea, watu watatu walioko Kiteto, hawawezi kuwa wanaona vitu vitatu tofauti kuhusiana na mtu mmoja, mmoja amemuona ananunua kura, mwingine amemuona bungeni Dodoma, mwingine amemuona kutohusika na kununua ila wneingne kununua kwa niaba yake, that do not make a sense hata kama mhusika ni mimi au wewe, sasa tulichofanya ni kuwaomba mtuweke sawa exactly kinachoendelea ni nini? maana mchanganyiko wa habari unatuacha bila ukweli, majibu yakawa mambo ya watoto wa nje wa tinga tinga, hivi ndio tuniata vitisho vya watu wote tunatakiwa kukubali tu wakisema watu fulani hapa, hiyo sio siasa waka debate healthy kwa taifa letu,

Anyways, nilitaka kuweka ishu inapotakiwa, ngoja niendelee ku-diggest, siasa za kimataifa nilizokula jana kwa watu wakali!

Later guys!
 
Wanabodi,

Yote tisa, kumi mada ina kichwa kisemacho:- Butiku aibuka tena: Anasema Tanzania imekosa viongozi wawajibikaji.

Sasa ikiwa kuna mtu hakubaliani na usemi huo atupe Hoja zake, binafsi namshukuru sana huyu baba pamoja na kwamba ni mwana CCM. iwe kesha tupwa ama yumo ndani, sii kazi ndogo hata kidogo kwani hao viongozi wote waliogombea Urais ndani ya CCM na Kitaifa wote KIMYAAAAAA! wamenyeshewa nvua, homa kali imewafunga midomo yao kiasi kwamba najiuliza.... Hawa watu waligombea Urais wakiwa na nia gani haswa ikiwa mabaya kama haya wanashindwa kuyakemea....What type of leadership wangeweza kusimamisha, ikiwa jambo dogo la kukemea Ufisadi ama kuwaambia wananchi chini ya uongozi wao haya mambo yasinge achwa yakielea...Leo mtu mwingine kabisa nje amekuja na kile tulichokuwa tunakisimamia basi imekuwa yeye hoja...Je, hii sio personal kwa Butiku badala ya kuitazama mada inayozungumzia VIONGOZI kwa ujumla wake.
 
BUTIKU SHOULD SHUTUP,YEYE AMEKUWA AKIFANYA MNF KUWA NI MALI YAKE,HAIJULIKANI NI LINI ALICHAGULIWA WALA LINI ANAACHIA,KAZEEKA NA HANA MAWAZO MAPYA LAKINI BADO TU AMEKAA,KAZI YAKE KUWASOMESHA WATOTO WA VIMADA WAKE ULAYA.NAKUMBUKA SIKU ZILE AKIWA KATIBU MYEKA WA RAIS ALIKUWA NI MUNGU MTU HUYU NA NDIO MTU WA KWANZA KUJIBINAFSISHIA NYUMBA OYSTERBAY MIAKA YA THEMANINI,NA NYINGINE AKAMPA BINAMU YAKE NIMROD MKONO.GHOROFA LA BUTIKU ALILOJIPA LIKO TOURE DRIVE NAMBA 165 PEMBENI TU YA NYUMBA YA PM.WAKATI ALIPOKUWA RC MARA NYUMBA HIO ALIKUWA ANATUMIA MTOTO WA DADA YAKE MKONO AKIITWA MANG"OMBE KUFIGIA NGURUWE NA KUKU.BUTIKU NDIO ALIEMPA MICHONGO MINGI SANA MKONO KUFAIDI KUANDIKA MIKATABA YA SERIKALI.

butiku asizuiwe kusema anachosema, kama sisi wote tusivyozuiwa kusema tunajojua juu yake. kwa mfano, asingejitokeza na kusema haya ya ufisadi-suruali wake na ya kujibinafsishia mali za umma tungeyasikiaje? wajitokeze wengine kama yeye ili hatimaye wengi zaidi wa namna yake waanikwe juani.
 
Mimi namuunga mkon Butiku to come and trumpet for the poor nk. Ila The man lazima tujue kwamba kwa nini hataji majina ? Kuna ubaya gani kama kaona Meghji kakosea kabisa na Mkapa was reckless asiseme tusikie ? We have been calling for Meghji resignation openly na yeye kasema namna hiyo lakini haji na jina .Unajua ukimtaja mtu kwa mfano Lunyungu wewe ni mwizi basi ina uzito badala ya kuzunguka na maneno . Kama JF tunataja majina je yeye anayeyajua mengi zaidi why aongee tu . Tunamuomba basi aongeze kasi aende mbele kidogo aseme Karamagi ama ndugu Rais kwa manufaa ya Watanzania si CCM bali Tanzania waondoe hawa then tuone kweli mzee kajitosa .Talk shows zisizo na tija do we need them ?
 
nakubaliana na mtazamo wako, hasa sehemu ya kumuunga butiku mkono aendelee kupiga tarumbeta. hii sehemu ya kutaja majina kwa sababu za kiusalama itamfikisha ambako labda hajajiandaa kufika. nadhani mbali ya kuwabwekea mafisadi walioko ofisini hajasahau nguvu waliyonayo juu ya vyombo vya sheria na kwingineko. kumtaja mtu atadaiwa ushahidi zaidi ya ule wa kimazingira tu. sisi hapa JF tunaweza kuwataja kwa sababu tunafurahia uhuru wa kuvaa vinyago usoni ambavyo vinaficha sehemu kubwa ya utambulisho wetu. jiulize ni kwa nini sisi wenyewe hakuna kati yetu aliyekwishapiga hatua ya kufanya alichokwishajitosa yeye huyu mzee kufanya mbali ya taarifa nzuri na nyeti tunazochangia hapo kwenye forum? na alichokwishajaribu kufanya ndicho kinachotushinda wananchi wengi...kujitokeza hadharani na kubweka huku ukimwelekezea mwizi pua. mi nampongeza kwa hatua hiyo ambayo sisi wote naamini itatuchukua muda kiasi kuifikia.
 
Mimi sina mtu maalumu wa kumuunga mkono ila naunga hoja zake kama zna faida kwa Tanzania .Nyie mnao tumia majina feki basi endeleeni kuongea mkiwa gizani .Lakini kuogopa kwa Butiku ni kwa ajili gani ? Hana uhakika na ayasemayo ama ni kitu gani ? Mbona Zitto na Slaa wanasema ? Mbona Mrema alikuwa anasema ?Mbona Tundu Lissu anataja ? Yaani Butiku anaona ni shida kusema Meghji jiondoe ume prove incomptency ?

Mimi hapa naitwa Joseph Cleophas Lunyungu Mademla wa Mtandula mbona nasema kwa uwazi ? Sina haja ya kujificha maana nikija hapa kusema sileti majungu .Wewe je ?
 
""""what is 2000$? ni pesa ndogo sana ujue ukiwa US."" teehteeehteehh masatu same 3tanzania ma br....si unasikia 113bn KATIKA 2000$ngapi hizo mkuu....am kid%%%^&
 
Mimi namuunga mkon Butiku to come and trumpet for the poor nk. Ila The man lazima tujue kwamba kwa nini hataji majina ? Kuna ubaya gani kama kaona Meghji kakosea kabisa na Mkapa was reckless asiseme tusikie ? We have been calling for Meghji resignation openly na yeye kasema namna hiyo lakini haji na jina .Unajua ukimtaja mtu kwa mfano Lunyungu wewe ni mwizi basi ina uzito badala ya kuzunguka na maneno . Kama JF tunataja majina je yeye anayeyajua mengi zaidi why aongee tu . Tunamuomba basi aongeze kasi aende mbele kidogo aseme Karamagi ama ndugu Rais kwa manufaa ya Watanzania si CCM bali Tanzania waondoe hawa then tuone kweli mzee kajitosa .Talk shows zisizo na tija do we need them ?

Mkuu Lunyungu,

Heshima mbele, hii ni pure politics ya bongo uliyoisema hapo, Dr. Slaa na Zitto, wame-raise the political bar, sasa tunaofuata tuipeleke to the next level, we appreciate Butiku na his outrage lakini viongozi wengi wa ndani wa CCM na serikali, wanasema kuwa anahitaji kuget-over kushindwa kwa mgombea wake Salim urais,

Butiku is a former big, sasa hawezi kuwa anasema bila sababu, anayo sababu, sasa aseme sababu otherwise anaonekana kuwa anataka ku-blackmail viongozi wa CCM, ambao tayari wameanza kumfukuza, kumuonyesha kuwa they are not scared of him maana wangejua kuwa anazo dataz zao si yangemkuta ya Balali? au wangempa kazi, kwa hiyo Butiku politically, sasa hana anything to lose, sasa anaogopa nini? Maji ukiyavulia lazima uyaoge, sasa kinamshinda nini kuyaoga? Maana kwa kufanya anyoyafanya sasa hivi hamsaidii mnyonge yoyote ila anzidi kuwaweka wanyonge kwenye nafasi ya "kunyongwa" zaidi, aseme ukweli nani ni mwizi na nani sio mwizi, na pia aseme specifically maana so far haeleweki betweeeen Mkapa na Kikwete, tatizo lake ni nani?

Kilio chake kingi kionaonekana kuwa against Mkapa, wakati the ishu at hand sasa hivi ni baadhi ya viongozi mafisadi wa sasa, ndio maana anahitaji kuanza kuwa specific, nani mwizi na ameiba nini? Lakini pia tunaheshimu anachofanya lakini it is too short!

Otherwise, Lunyungu your post is a powerful one!
 
Mimi sina mtu maalumu wa kumuunga mkono ila naunga hoja zake kama zna faida kwa Tanzania .Nyie mnao tumia majina feki basi endeleeni kuongea mkiwa gizani .Lakini kuogopa kwa Butiku ni kwa ajili gani ? Hana uhakika na ayasemayo ama ni kitu gani ? Mbona Zitto na Slaa wanasema ? Mbona Mrema alikuwa anasema ?Mbona Tundu Lissu anataja ? Yaani Butiku anaona ni shida kusema Meghji jiondoe ume prove incomptency ?

Mimi hapa naitwa Joseph Cleophas Lunyungu Mademla wa Mtandula mbona nasema kwa uwazi ? Sina haja ya kujificha maana nikija hapa kusema sileti majungu .Wewe je ?

joseph, mbona unatumia jazba saaaana kwenye jambo la maoni tu? suala la wewe kunitajia jina lako (nilikuwa silihitaji) haionyeshi ushujaa wako. kama unadhani una mchango mkubwa na wa maana zaidi kwa nini unatumia muda mwingi kumng'ang'ania mtu mwoga ataje majina ya mafisadi? busara haitoshi tu kujua kwamba haonyeshi nia au ushujaa wa kutosha kutaja? lakini kuna kipya gani anachokisema ambacho wewe hukijui hapo? kwa nini usijitokeze ukafanya alichoshindwa yeye? au ni ishara ya woga kubaki nyuma na kumng'ang'aniza aliye mbele yako atembee? kuwa mkweli.
 
Haya wakuu siasa na dawa, lets cool it down!

Ghana 2 Nigeria 1.......dakika kumi zaidi bado! anayeshindwa anaenda nyumbani, Robo finali hii!

Mpira umeisha Nigeria nje, the same goals!

Corte d'Ivory VS Guinea next!

Ahsante Wakuu
 
Field Marshall ES,
Mkuu nadhani Butiku kisha yasema mengi ktk hotuba zake zote na sioni sababu ya kuyataja majina ikiwa majina hayo tayari yameisha tajwa na kina Slaa. Tunachofuta kufahamu hapa ni kipi yaani kipi kimpya haswa?...Nina hakika kama atayataja basi mtakuja na hoja ya kuwa kwa nini hakutaja zamani kabla ya Slaa.
Majina yanajulikana kinachotakiwa ni viongozi kusimama na kukemea Ufisadi kwani kinachomuumiza mwananchi sio jina la mtu ila Ufisadi wenyewe...Na hakika neno Tanzania imekosa viongozi wawajibikaji linabeba uzito mkubwa kuliko majina ya watu ndio maana binafsi najiuliza kina Salim, Mwandosya, Kigoda na wengineo wako wapi?... hao wa Upinzani wako wapi tukiondoa wachache waliojitokeza. Huyo rais , makamu na waziri wake mkuu tunao wauliza kila siku wamo pia ktk pakacha la usemi wa Butiku.
Na tukumbuke kuwa ktk Siasa sii viuri kutaja majina ya watu ila mabaya yao kutangulia mwanzo kisha wao watachekecha wenyewe kutoa mbegu mbaya....
Kama alivyosema muungwana hapo juu kuwa Butiku ni mfano bora sana kwetu kuweza kuona jinsi nchi yetu inavyopoteza viongozi na neno KUKOSA viongozi wawajibikaji ina beba uzito mkubwa zaidi ya majina ya mafisadi.... Hii inawakemea hata wale waliokaa kimya pembeni.
 
Unajua ndugu Mtanzania .Wewe hapo London unakaa na watu na si wote wanao kupenda amna unao wapenda ama hata kule kazini kwako maana wewe Engineer .Lakin kwa kuwa uko kazini huwa unfanya yale yanayo faa hata kama limefanywa na mshenztu tu lakini akifanya vyema kubaliana si kwamba umeshindwa hapana kukubali mtu akifanya kitu ndiyo maisha .Mimi sina ugomvi namtu hapa ila huwa hapendwi mtu kwa maana ya kwamba nimshabikie hapana . Akisema zito ambalo silijui na lika make sense lazima nikubali .Kubishana kwa maana ya kubishana hapa.Again mimi mtu yeyote akimwaga point nikaiona basi nakubaliana naye hata kama ni Masatu nitakubaliana naye ili mradi nione kasimamia ukweli .
That is me .

Duh! yaani kipimo cha chini cha kutoa hoja ni Masatu! weh Lunyungu huna adabu sana....
 
Dear Masatu mimi si mtu wa matusi .Sikumaanisha kukushia hadhi unless sijaelewa .Again naomba msamaha kama bandiko limekukwaza lakini nasema nia yangu ilikuwa kusema sifungamani na mtu na namuunga mkono mtu yeyote akimwaga point hata hata rafiki yangu Masatu napingana naye sana sana ila akifanya jambo zito sisiti kusema ni kweli Masatu .
 
Back
Top Bottom