Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,580
- 48,733
Nahitaji kusafiri kesho, naomba msaada wa bus zuri from Dar to Babati.
Asanteni.
Asanteni.
jamani ???Unaenda Babati kutafuta nini?
Hakuna gari ya Babati - Dar kupitia Arusha labda za kuunga unga.Waenda babati kupitiaa dodoma au arushaa
asantePanda polepole ni mpya.
mtei jePanda polepole ni mpya.
Polepole ni 2x2 mpya, Mtei ni ya zamani sana japo ni 2x2mtei je
nitafika saa ngapi?Panda gari za Kilimanjaro Express kwenda Arusha,kisha ukapande Mabasi ya Singida yatakuacha Babati.
Mtei ni mabaya sana unaweza isiikute tv ndani ila dodoma ukifka nitafutemtei je
God is one inaishia Moro, Pole pole ni mpya za mwezi wa 12 achana na ya zamani.Tafuta gari inaitwa god is one,otherwise mtei,usijarbu kpanda princeline Wala Pole Pole nilishalala njian
nikutafutie nini tena?Mtei ni mabaya sana unaweza isiikute tv ndani ila dodoma ukifka nitafute
pole pole zote ni mpya?God is one inaishia Moro, Pole pole ni mpya za mwezi wa 12 achana na ya zamani.
Nikuone kwa kuonana kwa machonikutafutie nini tena?