Ibrahim. H
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 316
- 92
City. Boy
Umenikumbusha enzi zile niko dareda sec.tulikuwa tunayatimia mabasi ya mtei ama prince line kwani mmiliki wake yuko gongoh na ilikuwa rahisi kuyakodi2000hrs ni kama utapanda ya moja kwa moja yan ya kupita dodoma na singida ila kama utaunga hiyo kili xpless ya arusha unaeza fika 2300hrs au ukalala kabisa arusha maana kuna mda hata gar za arusha town-babati huwa hakuna......nauli zao huwa hazizid 35000
kuhusu gar ni bora ukachukua mtei japo ni mabovu maana ikihalibika huwa anafaulisha kwa gar zake za kalibu na ajal mf ana gar singida,Hanang ila hao wengne ikihalibika utangoja watengeneze au wakodi kwa wengine..,
safar yako ya hiki kipindi imenikumbusha wakat naenda kulangua mbaazi na alizet maana ndio msimu wake huu japo mbaazi wakwe najua watakuwa washawauzia wahindi zote....wasalimie hospital ya mlala,endakiso,galapo,mamile,dongobesh nk
babati nitaludi kama sio kwa mazao bhas nitafta mke wa pili....."wanasalim kwa kusema haidomaa" so utawajib haidolii ila mkubwa akikwambia "saitaa" sema sayuu..

Nyunguuu! Napapata sana hapo karibu na tank la maji na Msikiti.Mtei ndo master wa hiyo route. Dar-BBT via Dodoma.
Sema gari zake sio Luxury ila ni za uhakika. Otherwise Polepole ana gari mpya ambayo ni luxury. Ila Karibu sana Babati. Niko Nyunguu hapa. Ukifika ukahitaji conpany ya wana JF wenzio pm me
Ango treeHoteli gani nzuri Babati?
Winners ndo pazuriHoteli gani nzuri Babati?
Moonlight mkuuWinners ndo pazuri
Unapitia njia ipi kama Arusha ni vidaladala vya kumwaga na kama kupitia Dodoma,Singida hadi Babati mabasi ni mengi tu ,ila sijawahi kuona basi la moja kwa moja la Dar hadi BabatiNahitaji kusafiri kesho, naomba msaada wa bus zuri from Dar to Babati.
Asanteni.
Ipo mitaa gani hii ni mpya????Moonlight mkuu
Jirani na Kanisa la Mungu.Ipo mitaa gani hii ni mpya????