Bus gani zuri Dar - Babati?

Bus gani zuri Dar - Babati?

Hajafilisika isipokuwa ameyumba kidogo.
Okay maana pamoja ngarangara zake lakini unawah fika na ninachowapendea madereva wake wengi ni mafundi wazuri sana na hawakosi fundi wa zarula ndani ya basi Ni Kama meridian za rombo!
 
naitaji kusafiri kesho naomba msaada wa bus zuri from dsm to babati asanteni

Ila kama unataka ufike mapema babati,
Panda ngorika ya kwanza ya Arusha nakwambia kabla ya saa moja upo babati,
Ile lollipop hakuna kula njiani siti Ni 3/2 mnanuniana mpaka mnaingia Arusha.
 
Ina maana MTEI imefilisika?
hajafilisika ila nadhani kila kitu kina zama zake ndio maana japo kuwa dully sykes na juma nature ni wakali sasa hivi wanonekana si kitu mbele ya diamond na ally kiba kwakuwa zama zao zimekwisha!,mtei anatumia scania ambazo ni imara sana ila watu wanapenda yutong kwakuwa body ni nzur!
 
Okay maana pamoja ngarangara zake lakini unawah fika na ninachowapendea madereva wake wengi ni mafundi wazuri sana na hawakosi fundi wa zarula ndani ya basi Ni Kama meridian za rombo!
We nae umeathiliwa na magari mabovu wenzio wanamshauri apande pole pole maana ni mapya wewe umeshupaa na mtei Mara wanafundi wa dharula Mara madereva wao wote mafundi.

Acha mahaba, miss natafuta panda pole pole dar babati via singda nauli 33 kufika ni saa mbili. Achana mangarangara mengine
 
asanteni mkuu ila isije ikawa wana gari moja jipya mengine fix
 
Hivi magari ya 3/2 bado yapo?
Ila kama unataka ufike mapema babati,
Panda ngorika ya kwanza ya Arusha nakwambia kabla ya saa moja upo babati,
Ile lollipop hakuna kula njiani siti Ni 3/2 mnanuniana mpaka mnaingia Arusha.
 
asanteni mkuu ila isije ikawa wana gari moja jipya mengine fix
Chakufanya wahi kwenda stendi fika mpaka basi lilipo ukishaliona ndipo ukate tiketi . usiwe na hofu abiria ni wachache sana so nafasi utapata tu.

Yanapaki karibu na mabasi ya singda karibu na jengo la utawala ubungo stendi...otherwise nikutakie safari njema.
 
Mtei yupo kwenye game muda mrefu sana lakini hataki kuendana na move kabisa.
hajafilisika ila nadhani kila kitu kina zama zake ndio maana japo kuwa dully sykes na juma nature ni wakali sasa hivi wanonekana si kitu mbele ya diamond na ally kiba kwakuwa zama zao zimekwisha!,mtei anatumia scania ambazo ni imara sana ila watu wanapenda yutong kwakuwa body ni nzur!
 
Nahitaji kusafiri kesho, naomba msaada wa bus zuri from Dar to Babati.

Asanteni.
Wewe Miss Natafuta si ulituahidi kwamba hautaonekana hapa kwa hiyo ID yako, sasa imekuwaje tena? Au Mr Natafuta amekumwaga tena?
 
Dar es Salaam To Babati Via Morogoro
Mtei Express
Polepole
Kila Siku Muhimu Ni Kufika Ukiwa Salama
 
Back
Top Bottom