Bus gani zuri Dar - Babati?

Nahitaji kusafiri kesho, naomba msaada wa bus zuri from Dar to Babati.

Asanteni.
Kwa kupitia Arusha kwa ukaguzi na mwendo wa siku ya pili jiandae kulala Arusha. Ukifika Arusha nitafute (Husinijibu unitafutie nin kama ulivyomjibu shushushui!!!)
 
Mtei ndo master wa hiyo route. Dar-BBT via Dodoma.
Sema gari zake sio Luxury ila ni za uhakika. Otherwise Polepole ana gari mpya ambayo ni luxury. Ila Karibu sana Babati. Niko Nyunguu hapa. Ukifika ukahitaji conpany ya wana JF wenzio pm me
hivi alikujaga kweli miss natafuta??,,km alikuja nilimkosa aisee mm nipo Mrara kwere mkuu,,,,,tujuane bana
 
Back
Top Bottom