Bus gani zuri Dar - Babati?

Mkuu swali gumu kidogo maana sifanyi kazi kwao mimi ni mkulima, nenda Ubungo ofisi zao zipo pale, bado mapema sana. Pia biashara ni ngumu sana kwa sasa abiria ni wachache sababu shule hazijafunguliwa.
nauli sh ngapi mkuu?
 
2000hrs ni kama utapanda ya moja kwa moja yan ya kupita dodoma na singida ila kama utaunga hiyo kili xpless ya arusha unaeza fika 2300hrs au ukalala kabisa arusha maana kuna mda hata gar za arusha town-babati huwa hakuna......nauli zao huwa hazizid 35000
kuhusu gar ni bora ukachukua mtei japo ni mabovu maana ikihalibika huwa anafaulisha kwa gar zake za kalibu na ajal mf ana gar singida,Hanang ila hao wengne ikihalibika utangoja watengeneze au wakodi kwa wengine..,

safar yako ya hiki kipindi imenikumbusha wakat naenda kulangua mbaazi na alizet maana ndio msimu wake huu japo mbaazi wakwe najua watakuwa washawauzia wahindi zote....wasalimie hospital ya mlala,endakiso,galapo,mamile,dongobesh nk

babati nitaludi kama sio kwa mazao bhas nitafta mke wa pili....."wanasalim kwa kusema haidomaa" so utawajib haidolii ila mkubwa akikwambia "saitaa" sema sayuu..
 
2000hrs ni kama utapanda ya moja kwa moja yan ya kupita dodoma na singida ila kama utaunga hiyo kili xpless ya arusha unaeza fika 2300hrs au ukalala kabisa arusha maana kuna mda hata gar za arusha town-babati huwa hakuna......
Umesema kweli barabara ya Arusha ni jam hasa.
 
Mtei ndo master wa hiyo route. Dar-BBT via Dodoma.
Sema gari zake sio Luxury ila ni za uhakika. Otherwise Polepole ana gari mpya ambayo ni luxury. Ila Karibu sana Babati. Niko Nyunguu hapa. Ukifika ukahitaji conpany ya wana JF wenzio pm me
 
Mtei ndo master wa hiyo route. Dar-BBT via Dodoma.
Sema gari zake sio Luxury ila ni za uhakika. Otherwise Polepole ana gari mpya ambayo ni luxury. Ila Karibu sana Babati. Niko Nyunguu hapa. Ukifika ukahitaji conpany ya wana JF wenzio pm me
Karibu Mrara
 
Back
Top Bottom