Naona umeamua kujipa kibarua cha ndugu yako jmali,utakimbia tuu na wewe maana ndio mnachoweza
doh...kweli wewe noma..unachagua msaada
Sheikh kahtaan anakusalimia.Naona umeamua kujipa kibarua cha ndugu yako jmali,utakimbia tuu na wewe maana ndio mnachoweza
msalimie sana huyo sheikh asiye na akiliSheikh kahtaan anwkusalimia.
kwani kenya walipotoa cement na bati sisi hatuna viwanda huku? msaada ni msaada tu. hata saudi arabia wakileta tende sisi tutapokea tu kwani kuna wanaohitaji. huwezi kumchagulia mtoa msaada cha kukupa unless uwe hauhitaji msaadakwani hapa kwetu hatuna mchele, wala mahindi kwanni wasitoe pesa wanatoa mazao ambayo kwetu yapo kila kona ya nchi hawajui kuwa Tanzania imebarikiwa na Mungu
Cc: sheikh kahtaan.msalimie sana huyo sheikh asiye na akili
kwani hapa kwetu hatuna mchele, wala mahindi kwanni wasitoe pesa wanatoa mazao ambayo kwetu yapo kila kona ya nchi hawajui kuwa Tanzania imebarikiwa na Mungu