Burundi waipa msaada Tanzania

Burundi waipa msaada Tanzania

upinzani kwa sasa wamekuwa matahira kila kitu kwao kibaya!!!duuh ndo maana wakadeki barabara...
 
Habari wanaJF,

Naibu Waziri Mambo ya Nje leo amepokea msaada wa mchele tani 100, mahindi tani 50, sukari tani 30 kutoka Burundi kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi Bukoba mkoani Kagera.
Hakuna bovu lisilo faa
 
kwani hapa kwetu hatuna mchele, wala mahindi kwanni wasitoe pesa wanatoa mazao ambayo kwetu yapo kila kona ya nchi hawajui kuwa Tanzania imebarikiwa na Mungu

Hujapatwa na majanga wala hakuna ndugu yako aliepata majanga usingeropoka haya
 
kwani hapa kwetu hatuna mchele, wala mahindi kwanni wasitoe pesa wanatoa mazao ambayo kwetu yapo kila kona ya nchi hawajui kuwa Tanzania imebarikiwa na Mungu
Hapa kuna mchwa, pesa itapekechwa faster!
 
hakuna tatizo hapo,kwani mengi na burundi nani tajiri??acheni chuki za kipuuzi kwa nchi yenu,halafu hiyo title ingekuwa "burundi imetoa msaada kwa waathirika"..ila wale wanaoponda waambieni Genda Heka linawaona
Title ni sahihi. Kwani waathirika wapo wapi?
 
serikali mpaka sasa wamechangia nini? au kazi yao kujifanya kuwa madalali tu?
 
Back
Top Bottom