Burundi waipa msaada Tanzania

Burundi waipa msaada Tanzania

Khaaa mpaka burundi wa mzeeiya mwenyewe kurunziza ,
Meanwhile ,some where in tz, nakagua vyeti bandar
 
Utakuwa shabiki wa nyeupe, hatuhangaiki na wewe maana ni mnafiki
wenzako akina jingalao, faizafoxy, simiyu yetu, wako wapi bora lizaboni yeye anaonekana ka kupatwa kwa jua, hao wengine hivi bado wanapumua kweli siwasikii kabisa,
 
Hahahahahaha,ndo hii unatoa zawadi ya friji kwenye harusi,wakati wewe hata maji ya kunywa unahifadhi kwenye mtungi.
 
Inamaana ss hatuna chakula kwenye maghala ya taifa
Mkuu alishaa semaa "hana helaa na chakula cha kuwalishaa watakaoo patwa na njaa pia serikali sio ilio letaa tetemeko na watu wafanye kazi sioo kubwetekaa"
 
wahanga wamesema wanahitaji msaada wa kujenga nyumba zao au mahema sio chakula,wanachoooo
 
Back
Top Bottom