Burundi waipa msaada Tanzania

Burundi waipa msaada Tanzania

Katika nchi za Afrika Mashariki, rafiki wa kweli wa Tanzania ni warundi na wakongo tu.
 
hakuna tatizo hapo,kwani mengi na burundi nani tajiri??acheni chuki za kipuuzi kwa nchi yenu,halafu hiyo title ingekuwa "burundi imetoa msaada kwa waathirika"..ila wale wanaoponda waambieni Genda Heka linawaona

Upo soo negative... Hii ni habari njema kwa ujirani wetu.
 
Asante jirani mwema. ..mbarikiwe
 
kwani hapa kwetu hatuna mchele, wala mahindi kwanni wasitoe pesa wanatoa mazao ambayo kwetu yapo kila kona ya nchi hawajui kuwa Tanzania imebarikiwa na Mungu
Kwahiyo ulishapeleka mahindi na mchele huko Kagera.
 
Back
Top Bottom