[emoji23]Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Duh! Mungu akufanyie wepesi ufikie mafanikio makubwa! Ujasiri wa kuacha papuchi ni wa kuigwa! Hongera Sana Mdau.Mungu atunusuru, wengine tuligomaga kufa Hadi tuwe matrilionea, tukaacha pombe, tukaacha kula nyama nyekundu, tukaacha papuchi gongaring, tukaacha vyote ili turefushe maisha. Sasa dude vurugavunja limeingia
Hii kitu, ukiwa mzee, afya yenye mgogoro au mnene, uwezo wa kupona ni mdogo sana. Ukisha pata ARDS tuu, ndo imetoka, organ zote muhimu zinakosa oxygen, yanabaki masaa tuu.
Duh...!.Nchi yetu sasa inaanza kupitia kipindi kigumu sana kama ilivyotabiriwa na wale tulioitwa waleta taharuki. Hakika ni kipindi cha buriani. Kwa tuliofuatilia kwa kina tabia za gonjwa la korona tunajua masaa 24-48 ni mengi mno na hayatabiriki kabisa.
Buriani Wana-JF. Kwaheri ya kuonana jukwaa pendwa la jamii. Tusipoonana tena basi tuonane upande wa pili.
Wallah ukipita Kariakoo hutaamini kinachoandikwa humu, is this a different world? Watu wanaishi na hawana hata wasiwasi, Meko katoa statement ambazo zimefanya watu kuwa reluctant sana. Vijana wanapiga stories huku wakichekeana at QUOTE]Mkuu unachosema ni kweli kabisa. Wale mafund simu pale mtaa wa kongo walivyo kaa zero distance yani
Ukienda segerea stand at night yani watu wamekaa karibu karibu hwana barakoa wala chochote cha kujikinga.
Kinyerez stand nilipita usiku mmoja yani kuna msongamano atari najiuliza kama huu ugonjwa unaenea kwa namna tulivyo elekezwa akitokea mmoa anao vip itakuwaje?
Anyway ni wakati wakuomba rehema kwa Mungu.
Tukiwa na nafas tuombee taifa. Tuwashauri tunaowafaham tuchuue tahadhar
Mungu ibariki Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Unene unaficha mambo mengi ikiwemo cholesterol inayopunguza damu kupita vizuri kwenye mishipa.Hee had wanene?😭😭😭
Unene unaficha mambo mengi ikiwemo cholesterol inayopunguza damu kupita vizuri kwenye mishipa.
Sasa mapafu yakijaa mucus kutokana na Corona, kiasi cha hewa inayosafishwa inakupungua sana na hivyo kusababisha kiasi cha oxygen kwenye damu kuwa kidogo. Ukiwa mnene uwezo wa damu safi kuzunguka mwilini unazidi kupungua. Hivyo kuharakisha ogani za mwili kudhoofika kwa kukosa oxygen.
Kingine ni kuwa mafuta mwilini yanazuia uwezo wa diaphragm (msuli wa kusukuma mapafu) kufanya kazi yake ya kusukuma mapafu ili hewa iingie na kutoka, ndiyo maana watu wanene wanapatashida kupumua.
Hivyo utaona mlolongo wa matatizo unaosababishwa na unene kwenye Corona ni mrefu.
Mbona li Lemutuz linadunda tu mtaani?Unene unaficha mambo mengi ikiwemo cholesterol inayopunguza damu kupita vizuri kwenye mishipa.
Sasa mapafu yakijaa mucus kutokana na Corona, kiasi cha hewa inayosafishwa inakupungua sana na hivyo kusababisha kiasi cha oxygen kwenye damu kuwa kidogo. Ukiwa mnene uwezo wa damu safi kuzunguka mwilini unazidi kupungua. Hivyo kuharakisha ogani za mwili kudhoofika kwa kukosa oxygen.
Kingine ni kuwa mafuta mwilini yanazuia uwezo wa diaphragm (msuli wa kusukuma mapafu) kufanya kazi yake ya kusukuma mapafu ili hewa iingie na kutoka, ndiyo maana watu wanene wanapatashida kupumua.
Hivyo utaona mlolongo wa matatizo unaosababishwa na unene kwenye Corona ni mrefu.
Aaaah,Rip wangar[emoji24][emoji24][emoji24]!!