Buriani Rosemary Kambarage Nyerere

Sio tu akiwa hai bali akiwa Rais wa nchi

Kuna Mkuu wa Shule alimpiga barua ya kumwita Mzazi mtoto wa Nyerere, alipofuatwa kuulizwa akajibu nimemuita Julius Nyerere Mzazi wa Mwanafunzi sio Rais

Huyo ni Mama Siwale alikuja kupata Uwaziri wa Elimu

Baadae nae akaja kutumbuliwa kwa kosa la kupeleka Uwaziri chumbani akiwa na Mumewe

The rest is history
yaani walimdisco mtoto wa mwalimu na mwalimu akiwa hai!? kweli enzi hizo watu walikua wamepinda.. R.I.P ROSE
 
Baadaye inasemekana alienda kusoma IDM Mzumbe na kule alimaliza wakati huo ilikuwa ni Diploma.
Ni kweli kabisa Rosemary Nyerere baada ya discontinuation ya medicine pale Muhimbili baade alikwenda kusoma IDM Mzumbe na ali - graduate May 1989 with Advance Diploma in Professional Accountancy (ADPA) with honor akiwa "Ameua" - amepiga A's course zote. July 1989 Alipangiwa kazi kama Assistant Lecturer pale IFM (now a days IFM University) na kuanza kufundisha course za Accountancy mwaka wa kwanza na na wa pili.

Nakumbuka alikuwa rafiki na mcheshi na mtu wa kujichanganya kwa wote na hata wanafunzi wake. Pale IFM (kule nyuma ya jengo) siku hizo kulikuwa na mgahawa unaendeshwa na serikali ya Wanafunzi (almaarufu kama "MUWATA") ulikuwa ukiuza supu, chips kuku, mishakaki, bia, soda. Nakumbuka pale ilikuwa ni kijiwe alichokuwa akikipenda sana ambapo utamkuta akifurahi baada ya classes zake akipiga bia yake na sigara yake mkononi. Kwa hakika bado namuona akiwa kwenye tabasamu yake, upole na ustaarabu wake na sauti yake nyororo.

Nakumbuka alikuwa ni dada mmoja aliyekuwa akishughulishwa zaidi na mambo yake mwenyewe na ya watu aliyatazama tu na kuyaacha kama yalivyo. Na pia namkumbuka siku hizo kama mdada aliyekuwa akipenda kujichanganya kwenye vijiwe vya wanaume zaidi kuliko wanawake wenzie.

Bwana akutangulie katika safari yako.

RIP Rosemary Nyerere.
 
Sio tu akiwa hai bali akiwa Rais wa nchi

Kuna Mkuu wa Shule alimpiga barua ya kumwita Mzazi mtoto wa Nyerere…alipofuatwa kuulizwa akajibu nimemuita Julius Nyerere Mzazi wa Mwanafunzi sio Rais

Huyo ni Mama Siwale alikuja kupata Uwaziri wa Elimu


Baadae nae akaja kutumbuliwa kwa kosa la kupeleka Uwaziri chumbani akiwa na Mumewe

The rest is history
Karma hutajali tupe uzi wa uwaziri chumbanj mpk akatumbuliwa.
 
yaani walimdisco mtoto wa mwalimu na mwalimu akiwa hai!? kweli enzi hizo watu walikua wamepinda.. R.I.P ROSE
Nasikia siku hizi mwalimu wa chuo akitoa matokeo ya ufaulu mdogo anaundiwa tume! Na hapo ameudhuria vipindi vyote, katoa mazoezi darasani inavyotakiwa na mitihani imepitiwa na kamati husika kabla ya kupewa wanafunzi!!! Halafu, mnasema tunataka kupeleka mtu kwenye sayari kabla ya 2040!
===
Buriani Rose Nyerere!
 
Namkumbuka Rosemary Nyerere. Alipenda uhuru wake na kuvaa anachotaka, including zile pensi fupi sana za jeans. Na sigara yake aliipenda sana. Na ulabu. Na kujichanganya na masela.

Sikuwahi kusikia wala kumwona mtu yeyote akitajwa kama boyfriend wake. Hakushobokea kabisa hizo vitu.
 
..kuongezea tu, mwaka 1982 pamoja na Muhimbili kuwa ni Kitivo cha Tiba cha Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam, yaani Chancellor, alikuwa Raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 
..kuongezea tu, mwaka 1982 pamoja na Muhimbili kuwa ni Kitivo cha Tiba cha Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam, yaani Chancellor, alikuwa Raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Lakini lecturers walikuwa na roho mbaya sana....unachukua cream of the cream iliyomaliza form six na baadaye unafyeka nusu nzima. Intake ilikuwa na 50 na wanamaliza 24 .... Kipindi hicho nchi ilikuwa na idada ya karimu na milioni 20 na chuo kinatoa 24 graduates of medicine. So sad.
 
Katika Jambo ambalo Nyerere alikosea ni Kuruhusu mambo ya kipuuzi kama haya pia Yatokee kwa watoto zake lakini pia Hakufanya jitihada za wazi kuwainua watoto zake kabisaa.. leo hii mtoto wa mwinyi anakuwa Rais wa nyerere hata Ubunge anakosaa...!! Legacy ya Urais aliondoka nayo mwenyewe watoto zake hawakufaidika hata kiodgo na potential ya baba yao mpaka Inafikia kipindi Lectures wanamdico mtoto wa Rais Nasema wangetafuta kazi ya Kufanyaa maza fakazzz tena sio tanzania idiots kabisaa... uprofesa ushuzi huko huko kwao.
 
Back
Top Bottom