Simfajamu marehemu; ila thru my facebook connection nilijikuta naumia kuhusu kifo chake...maana rafiki yangu ali comment kuhusu kifo chake na mimi moja kwa moja nikaona facebook account yake...ambayo ilikuwa active siku chache tu kabla ya kifo chake...
Kwa mara ya kwanza nilisikitika kwa kifo cha mtu nisiyemfahamu...siku nzima nilikosa raha, hasa nikiangalia picha zake na watoto wake...
Maisha na kifo ni siri nzito sana, tusichukulie uhai tunaopewa for granted...
Huwa wakati mwingine najiuliza...hivi navyoangaika najua ni lini nitakufa...what about my kids...
Kwa kweli hakuna ajuae future yake...
RIP