Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,889
Wakudada...Ndugu yangu Mohamed Said,umeweka simulizi nzuri lakini mara zote kama kawaida moyo wako haukubali kama Nyerere alikuwa Rais wa kwanza wa TANU, Tanganyika,Tanzania na CCM.Unaamini kuwa kuna watu wako walistahili,ulitamani leo Hamza (RIP) na Abdul (RIP) ndio wawe wenye kuelezea historia ya nchi hii,unaamini Julius hajui historia ya nchi hii.Ni dhahiri moyo wako unatoa machozi kwani historia haiko kama unavyotaka.Uongozi ni riziki itokayo kwa Mola!
LE,Hongera Mzee Mohamed Said kwa kutujuza historia ya nchi yetu. Kuna wakati nashangaa kwanini historia imepindishwa makusudi hivi na kumnyenyua mtu mmoja na kuwapotezea wahusika wakuu. Maana kila mtu anajua Nyerere alitoka mashambani huko akaja mjini akakutana na magwiji wakamshika mkono. Walimpa miongozo, fedha, chakula,malazi, connection nk bure. Lakin ghafla historia ya nchi hii imekuwa ni yeye tu! Yaleyale ya Magufuli kujifanya nchi nzima yeye ndo mzalendo peke yake.. mungu mtu, ndo hulka zile zile za Nyerere. Walichotofautiana ni kuwa Nyerere alikuwa smart. Lakin the same character. Huwezi andika historia ya nchi hii ukaacha kuwaweka mbele kina Sykes, Rupia, Kambona,Mwapachu nk.. lakin hawasemwi. Asante kwa kutupa ukweli. Ubarikiwe sana Mzee Mohamed 🙏
Kiranga,R.I.P Amb. Sykes.
Mimi naona tatizo tazia ya Sykes inapomuandika Nyerere kuliko Sykes.
Na hata Sykes anapoandikwa anaandikwa kama mtu ambaye hakuwa na maisha yake nje ya uhusiano wake na Nyerere.
Yani imekuwa kama Balozi Sykes hajafanya chochote kikubwa nje ya uhusiano wake na Nyerere, na hajafanya lolote tangu Nyerere afariki mpaka leo.
Hakuna ubaya wowote Mzee Mohamed kuelezea ukweli. Nyerere amekuja mjini, akaacha kazi ya ualimu. Watu Walikuwa wanamlisha,wanampa malazi zaidi ya miaka 8, mpaka nchi ilivyopata uhuru ndo akawa waziri mkuu angalau ndo akaanza kujimudu. Miaka yote toka ameacha ualimu umewahi jiuliza alikuwa anaishije yeye na watoto wake wakati hana ajira? Sasa hao watu waliokuwa wanamlisha mbona hamtaki michango yao ijulikane ? Au kwasababu ni waislamu? Au kuwa mwislamu ni dhambi? Tatizo nchi hii kanisa katoliki inataka iiendeshe kupitia mlango wa nyuma. Umewahi kujiuliza kwanini kila rais wa nchi hii mkristo lazima awe mkatoliki?Unamvika sifa isiyo yake,Shekh Said ni mtu wa kujisifu na kuwasifu watu wa deen yake.
Akikusimulia kuhusu Mwl Nyerere robo tatu ya simulizi zitahusu Wazee wake wa Kariakoo.Robo nyingine zitahusu mihadhara yake yeye halafu page mbili za mwisho atamtia Mwl Nyerere kiduchu.
Upo mama? Kimya sana siku hizi..au umeolewa?Si uandike wewe ujuavyo? Unataka kila aandikae aandike utakavyo wewe? Unanshangaza!
Hongera. Bila shaka ulikuwa unawapa hadithi za Tandamti na Aggrey! Ahahahahahahahah!!!!Sweet tablet,
Niko Washington DC VoA wananihoji mie mbumbumbu wa Tandamti.
Nijue nini Mswahili mimi.
View attachment 1786758
Hiki kitabu kinapatikana wapi kwasisi wa mikoa ya kaskazini?Wakudada...
Historia ya kweli ya TANU ilifutwa yote ikapachikwa historia nyingine.
Kilio changu kilikuwa hapo na sababu ni kuwa waliofutwa ni wazee wangu.
Leo sibubujikwi na machozi kwani nimeiandika upya historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
View attachment 1786786
Hongera Mzee Mohamed Said kwa kutujuza historia ya nchi yetu. Kuna wakati nashangaa kwanini historia imepindishwa makusudi hivi na kumnyenyua mtu mmoja na kuwapotezea wahusika wakuu. Maana kila mtu anajua Nyerere alitoka mashambani huko akaja mjini akakutana na magwiji wakamshika mkono. Walimpa miongozo, fedha, chakula,malazi, connection nk bure. Lakin ghafla historia ya nchi hii imekuwa ni yeye tu! Yaleyale ya Magufuli kujifanya nchi nzima yeye ndo mzalendo peke yake.. mungu mtu, ndo hulka zile zile za Nyerere. Walichotofautiana ni kuwa Nyerere alikuwa smart. Lakin the same character. Huwezi andika historia ya nchi hii ukaacha kuwaweka mbele kina Sykes, Rupia, Kambona,Mwapachu nk.. lakin hawasemwi. Asante kwa kutupa ukweli. Ubarikiwe sana Mzee Mohamed [emoji120]
Wakudada...
Historia ya kweli ya TANU ilifutwa yote ikapachikwa historia nyingine.
Kilio changu kilikuwa hapo na sababu ni kuwa waliofutwa ni wazee wangu.
Leo sibubujikwi na machozi kwani nimeiandika upya historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
View attachment 1786786
Wewe ni mtu mjinga, kwasababu hakuna mtu anaongelea kunyanyuliwa mtu hapa, wala hatukusema kina Sykes wawe marais. Tunaongelea kupotosha historia makusudi na kuomit watu muhimu na kuwakweza wachache. Ukiangalia watu wanaoandikwa sana kwenye historia ya Tanzania wote ni wakristo, kina Nyerere, Rupia, Kambona etc. Eti unajiita wakudadavua..unajua maana ya kudadavua wewe?Mwenyezi Mungu ndiye alimnyamyua Nyerere,baadaye Mwinyi kisha Mkapa akaja Kikwete,Magufuli na sasa Samia.Hii ni riziki toka kwa Mungu mtajisumbua kwa chuki na husda
Kiranga,
Wazee wangu walifutwa kwenye historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
Ninachokifanya ni kueleza historia ya TAA, TANU na vipi Nyerere aliweza kuingia ndani ya chama.
Wewe ni mtu mjinga, kwasababu hakuna mtu anaongelea kunyanyuliwa mtu hapa, wala hatukusema kina Sykes wawe marais. Tunaongelea kupotosha historia makusudi na kuomit watu muhimu na kuwakweza wachache. Ukiangalia watu wanaoandikwa sana kwenye historia ya Tanzania wote ni wakristo, kina Nyerere, Rupia, Kambona etc. Eti unajiita wakudadavua..unajua maana ya kudadavua wewe?
Wewe ni mtu mjinga, kwasababu hakuna mtu anaongelea kunyanyuliwa mtu hapa, wala hatukusema kina Sykes wawe marais. Tunaongelea kupotosha historia makusudi na kuomit watu muhimu na kuwakweza wachache. Ukiangalia watu wanaoandikwa sana kwenye historia ya Tanzania wote ni wakristo, kina Nyerere, Rupia, Kambona etc. Eti unajiita wakudadavua..unajua maana ya kudadavua wewe?
Kwasababu unapindisha hoja makusudi.. kwasababu inaonekana kana kwamba unamtetea Nyerere kwa misingi ya udini. I bet wewe ni mkristo. Hata Mimi ni mkristo. Lakin hiyo siyo sababu kuwapinga wale wazee wa kariakoo waliompokea Nyerere na kumtunza miaka yote ameacha kazi ya ualimu na kumpa kila aina ya support wasahauliwe michango yao. Sio sawa. Imejengwa image kuwa Nyerere ndio alikuwa mwanzo na mwisho. Yan yaleyale ya Magufuli kujifanya ndo mzalendo pekee Tanzania. Wengine wote ni vibaraka wa mabeberuMatusi ni alama ya kishindwa hoja.
Kwasababu unapindisha hoja makusudi.. kwasababu inaonekana kana kwamba unamtetea Nyerere kwa misingi ya udini. I bet wewe ni mkristo. Hata Mimi ni mkristo. Lakin hiyo siyo sababu kuwapinga wale wazee wa kariakoo waliompokea Nyerere na kumtunza miaka yote ameacha kazi ya ualimu na kumpa kila aina ya support wasahauliwe michango yao. Sio sawa. Imejengwa image kuwa Nyerere ndio alikuwa mwanzo na mwisho. Yan yaleyale ya Magufuli kujifanya ndo mzalendo pekee Tanzania. Wengine wote ni vibaraka wa mabeberu
Naona kwako wewe historia inaanzia TANU kwasababu Nyerere ndo alikuwa kiongozi wa kwanza, na sio TAA kwasababu huko alikuta imeisha anzishwaKijana hayo ya udini wewe ndio unayaleta.Nyerere ndiye Rais wa kwanza wa TANU,chama kilichojenga hoja kumwondoa mkoloni.Sikatai alisaidiwa na wengi pande zote za Tanganyika.Nyerere alikuwa mgeni Dar lazima apokelewe na wenyeji na ndio maana katika utawala wake akina Sykes,Rupia na wengine wengi walikuwa na vyeo mbalimbali.
Pia,watu kukukaribusha au kukupokea isiwe sasa ukawa mtumwa wao kwani Mzee Sykes naye pia alitokea Afrika Kusini alikuja akapokelewa na kupewa heshima.
Mwisho,hadi Nyerere kupewa urais wa TANU alikuwa na talanta hakufanya mapinduzi,aliacha kazi yenye ujira mkubwa kuingia kwenye siasa.Kuna gharama kubwa aliingia kuliko aliowaongoza.