ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 931
Taratibu za mazishi ya aliyekuwa Mtangazaji wa BBC Fred Alex Mttoi zinaendelea sasa. Punde msafara wa kwenda Kanisani (Kanisa la Kilutheli Tabata Magengeni. Mazishi yatafanyika Makaburi ya Kinondoni takriban saa tisa adhuhuri hii.
Katika uhai wake, marehemu Fred mbali na kuwa mtangazaji, pia alikuwa muumini mzuri, mtunzi na Msanii ambae aliongoza kwa kuingiza sauti katika filamu ya Kiswahili ya mateso ya Yesu ambayo sauti ya Yesu imechezwa na Askofu Mkuu wa sasa wa KKT Mwalasusa.
Bwana alitoa, Bwana Ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe.
Amen