Burian Fred Mtoi

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
925
Taratibu za mazishi ya aliyekuwa Mtangazaji wa BBC Fred Alex Mttoi zinaendelea sasa. Punde msafara wa kwenda Kanisani (Kanisa la Kilutheli Tabata Magengeni. Mazishi yatafanyika Makaburi ya Kinondoni takriban saa tisa adhuhuri hii.
Katika uhai wake, marehemu Fred mbali na kuwa mtangazaji, pia alikuwa muumini mzuri, mtunzi na Msanii ambae aliongoza kwa kuingiza sauti katika filamu ya Kiswahili ya mateso ya Yesu ambayo sauti ya Yesu imechezwa na Askofu Mkuu wa sasa wa KKT Mwalasusa.

Bwana alitoa, Bwana Ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe.
Amen
 
Kwaheri Fred. Mwenyezi Mungu akupe raha ya milele. Upumzike kwa amani. Amen.
 
Inasikitisha!
fred-2.jpg
 
Jamani nini kimeutoa uhai wa ndugu yetu Fred Mtoi kwani napata tu habari jujuu
 
Kwanini wasizike Tabata hukohuko? Mnatuongezea foleni jamani.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom