afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,153
- 9,270
Mnateganjwe? Yaani nyie mnaakili fupi hivyo ?na wao wakitutega hamna namna
Mnateganjwe? Yaani nyie mnaakili fupi hivyo ?na wao wakitutega hamna namna
Ma colestral wanayokula wanaonekana watu wazimaMnateganjwe? Yaani nyie mnaakili fupi hivyo ?
hao mabinti wa miaka hiyo wamekubuhu
au itabidi wajiexpress yourself....maana hakuna jinsi sasa...utoaji wa mimba utaongezeka zaidi....motto wa miaka 18 siku hizi ni mmama aliyekubuhu...staili zote anajuahichi kizazi cha sasa ni shida! utandawaz na hizi internet zinazidi kuwaharibu wakiwa bado wadogo...
TUTARAJIE ONGEZEKO KUBWA LA WASAGAJI MIAKA IJAYO... maana watafanya na wanawake wenzao kuepuka kupata mimba.
lakini kwa wale ambao dini yao inawaruhusu kuoa binti chini ya miaka 18 itakuwaje?Yaani nashukuru kwa hili miaka 16 Si sahihi kabisa.
Na hao wanaolindwa wajiheshimu kwa kujisitiri, haiwezekani unamkuta binti wa miaka 15 kakaa mahali kajitanua maungo yake nje nje
secular law ina prevail.lakini kwa wale ambao dini yao inawaruhusu kuoa binti chini ya miaka 18 itakuwaje?