Bungeni: Watakaowapa mimba wanafunzi miaka 30 Jela

Bungeni: Watakaowapa mimba wanafunzi miaka 30 Jela

Kama Sheria hii ikifatwa basi hakuna ataeowa bikra
 
Na hao wanaolindwa wajiheshimu kwa kujisitiri, haiwezekani unamkuta binti wa miaka 15 kakaa mahali kajitanua maungo yake nje nje
 
hii ni hatari kwa yale makabila yanayopeleka watoto wakike unyago au kuwacheza ngoma...

ktk utamaduni huo mtoto wanafundishwa mambo ya kikubwa kabla ya umri.

wapige marufuku na hizo tamaduni.
 
Mmmmh labda wangesema kama watafanya mapenzi ndio wafungwe
Ila mimba mbona wanazitoa sana wengine wataalamu wa P2
 
Wameongezeaaa viboko 12 na faini za mamilioni.
Hata hivyooo huko nyumaa sheria hiyohiyooo ilikuwa ikimruhusu kuolewa kwa kibali cha mahakama ila bila kuzaa kabla ya miaka 18 ila akiwa ndani ya ndoaaa.
 
Back
Top Bottom