Baada ya chadema, kutangaza kiongozi wao wa kambi ya upinzani bungeni, vyama vingine vinne vimeamua kuungana na kuwa na kiongozi wao huko bungeni vyama hivyo ni TLP, CUF , UDP NA NCCR MAGEUZI
source TBC1( MUKTASARI WA HABARI)
Siielewi vizuri hii, ina maana kutakuwa na viongozi wawili wa upinzani jimboni au? This division will always tear us apart!
Huu ndiyo wakati ambapo huwa ninatukana ninaambulia kula ban.
Hao wanafiki, walamba-miguu ya mafisadi, kina Mrema wanakwenda kufanya nini bungeni.
Hivi?
Kishumundu iko Vunjo??
CUF sasa ni tawi la CCM.
Inawezekana wameahidiwa kitu na JK. kinachowapa kiburi CUF ni kule Zanzibar tu.
YALIANZIA WAPI???:smile-big: CHADEMA WALISHASEMA HAWAHITAJI USHIRIKIANO NA VYAMA VINGINE MARA HII MMESHASAHAU...:smile-big:Wana JF nimepata habari kuwa CUF imesema haitashirikiana na CHADEMA kuunda serikali ya upinzni ramsi bungeni. Na wanasema wao watashirikiana na vyama vya NCCR Mageuzi na TLP kuunda kambi yao ya upinzani bungeni.
Source: Mlimani TV leo saa 1:30
Hiki nacho ni kituko gani wajamaa!!!! Huu ni wivu ama ni nini? Mimi nafikiri adui wa rafiki yako ni adui yako. Sasa bunge hili linaonekana kuwa kituko, kambi tatu zinazopingana?
Haya wana JF mnasemaje?
Oya wewe mkenya nini maana watanzania si unawajua ni mabingwa wa kusahau????????????? nakushangaa unalikumbuka hili nadhani ngoja waachiwe huo uwanja waweze kujitutumua vizuri........YALIANZIA WAPI???:smile-big: CHADEMA WALISHASEMA HAWAHITAJI USHIRIKIANO NA VYAMA VINGINE MARA HII MMESHASAHAU...:smile-big:
WAO WALIWASHIRIKISHA MBONA NYIE MMEAMUA KUUNDA UPINZANI BUNGENI PEKE YENU? KWALI SINA PhD lakini sidhani kama hata mngekuwa nyie ndio mliwashirikisha wao then wao wakawatenga mtakubaliana nao kushirikiana ilhali wamewafanyia ubinafsi.