uvungu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 384
- 127
Jee, hauoni kuwa Serikali imefanya la maana sana kukiri waziwazi kuwa wako kweli waliodhulumiwa wakati wa uhujumu uchumi na huyo Mzee Rage ni mmoja wapo. allitwajwa kwa jina. Alidhulimiwa million 85 za wakati huo, za leo ngapi?
Tunamsifu sana Waziri kukiri hilo na kusema atalishugulikia na kama kuna wengine wana madai wakamuone.
Tunashangazwa sana habari muhimu kama hiyo, ambayo ilikuwa inatakiwa vyombo vya habari viipe kipaumbele, lakini cha ajabu, sijaona hata chombo kimoja cha habari kikirudia hayo, si magazeti, si kwenye TV wala redio ili kuwe na chance kubwa zaidi ya waliodhulumiwa wasikie na wakadai fidia zao. Kulikoni?
Tuwapingeze kwa kukiri tu? U can't be serious subiri vitendo atatokea jakaya hapo kukanusha na kusema Mali ilikuwa ni ya umma yaani kama alivyosema Pesa ya escrow si ya umma chezea serikali ya ccm we kila MTU anandevuuu