Bungeni: Serikali yakiri kudhulumu watu

Bungeni: Serikali yakiri kudhulumu watu

Najua umelewa ukoko wa Bwana- Mtwana relation,
hujui maisha ya mtz yalivyo ndio maana unaharisha hapa, una bahati today am in good mood, kwa uduanzi wako hata sina haja ya kubishana nawe kwani sijui kuwa all you know is about your nose only, na mshukuru sana Nyerere aliwatetea la sivyo tungenyanganyana nyie na samaki na mapapa huko baharini coz there is where you deserve
--------- werwe!!
 
Why selective?

Huyo mbunge alikuwa anamtetea mtu bungeni alidhulumiwa wakati huo. Na waziri kakiri kweli dhuluma ilifanyika, sasa nini usichokielewa hapo hata utake kubadilisha mada?

Inauma?

Dhuluma zilikuwa nyingi wakati wa Azimio la Arusha.Kama hatoshi ikaja operation ya kuhamisha wananchi kwenda vijiji vya ujamaa vilikuwa kama concentration camps,wakiacha mali zao huko kwenye vijiji vya asili.Baadae ikaja kutaifisha nyumba zilizokuwa na thamani zaidi sh laki mmoja.walifika wakati kutaifisha magari mitumba ya wananchi hadi bucha ya nyama.Laana ya kula bila kunawa ndio hiyo.
 
Naona umeielewa mada na wala si mimi "na Nyerere", mimi nimewasilisha tu hapa na kukumbushia kwa waliokuwa hawapo kuwa huo wakati wa "Uhujumu Uchumi" ulioongelewa bungeni ulikuwa ni wakati wa uongozi upi.[/QUOTEMakamu Wa rais alikuwa nani ili tuweke kumbukumbu sawa
 
Watetezi wa CCM wengi wa humu JF, si watetezi wa CCM kwa kuwa ni chama wanachokipenda. Ni watetezi wa CCM ya sasa kwa kuwa kiongozi wa CCM wa sasa ni muislamu. Hao hao hawaishi kuanzisha nyuzi zinazoonesha kuwa CCM wakati wa Nyerere na Mkapa ilikuwa mbaya.

Bahati nzuri, watetezi hao hao wa CCM inayoongozwa na muislamu, ndio pia watetezi wa Zitto Kabwe. Na wakati Zitto bado yuko CHADEMA walikuwa wanakesha humu wakiwachafua viongozi wengine wa CHADEMA. Sasa hivi hao hao ni watetezi wa ACT Tanzania. Mfano ni akina Ritz, ZeMarcopolo, CHAMVIGA, HAMY-D, Musa allan,

Ukweli ni kwamba hapa hamna siasa hapa, hapa ni dini na ku promote viongozi wa dini zao, wakati huo huo kuchafua wengine, na Zitto anafurahia siasa za namna hii.

Hawa wamefanikiwa kulaghai wengi humu JF kuwa Zitto anaonewa, wakati ajenda ni dini tu. Hao ndio walioanzisha dhana ya ubaguzi wa dini na kanda, with zitto support (kwa kuwa alikuwa hawakani)

Huo ni ukweli, na ndivyo ilivyo. Na thread hii ni ushahidi.

Baadhi ya wana CCM hudhani wanatetea chama na wanajiunga na Faizafoxy, kumbe wanamsaidia kumtetea mtu anayeswali naye, watakapogundua.....
 
Leo nimeona "live" katika bunge wakati wa majumuisho ya bajeti ya Wizara ya fedha, kuna mbunge (sikumbuki jina) alisimama kumtetea mtu wa jimboni kwake kuwa alidhulumiwa wakati wa "uhujumu uchumi" na amekuwa anahangaishwa kulipwa madai yake na mwisho akaambiwa amechelewa. Mbunge huyo alisema kama kuchelewa alikuwa hajachelewa kwani anadai siku zote na ushahidi upo. Ndipo aliposimama Naibu Waziri wa Fedha na kumtaka huyo mbunge kuwa awasilishe madai yake yote kwake na karatasi zake zote na anaahidi kushughulikia hilo na kuhakikisha haki inapatikana kwani ni kweli wengi walidhulumiwa wakati wa (operesheni) ya Uhujumu Uchumi.

Ikumbukwe kuwa hii operesheni ilifanyika wakati marehemu Nyerere akiwa Rais na marehemu Sokoine akiwa Waziri Mkuu.

Huyo mbunge alisema kuwa wapo pia waliolipwa kwa kuonekana kweli walidhulumiwa.

Sasa nnajiuliza, na tusichangie hili kwa jazba, Ikiwa serikali inakiri tena bungeni, watu walidhulumiwa, jee ni hatua gani wale waliodhulumiwa wazee ambao wameshakufa ili kudai haki zao, si kurudishiwa tu mali zao na hukumu ipi "posthumous" inayoweza kutolewa kwa waliodhulumu?

Tukumbuke watu walidhulumiwa si katika uhujumu uchumi tu, kama Serikali ilivyokiri leo bungeni bali pia kuna watu waliodhulumiwa wakati wa Azimio la Arusha. Nao wakati wa Mwinyi waliambiwa wakadai lakini kwa kuwa haikutangazwa sana wengine walipoenda wakaambiwa wamechelewa, hivi haki ya mtu kweli ina kuchelewa katika kuidai?

Kwanza nnaisifu sana Serikali ya awamu hii kwa kukiri hilo bungeni "live" kuwa kweli kuna dhuluma ilitendeka. Kwa hakika Serikali kukiri hilo kosa ni ujasiri mkubwa sana na ni njia nzuri sana ya wananchi waliodhulumiwa kuweza kurudisha imani kwa Serikali yao na sasa wapokelewe na kurudishiwa mali zao na kusiwe na hili suala la kuchelewa.

Naipongeza Serikali kwa hilo, na lisiishie hapo watutangazie tuanzie wapi? Kwani nnaamini si wengi waliosikia hilo bungeni kwani si wengi wanaotazama bunge.

Nawaomba na waandishi wa habari walitangaze hili, kwani ni jambo la kheri kubwa sana, hakuna dua inayopokelewa haraka kama ya mwenye kudhulumiwa, pengine haya majanga yote yanayotupata Tanzania ni kwa hizo dhuluma zilizofanywa na viongozi wetu huko nyuma, ni wakati muafaka Serikali kukiri hilo na kuanza kufanya toba na kurudisha imani ya wananchi kwa Serikali yao.

Hansard zitakuwa zipo kwa wanaotaka kuelewa zaidi.

Ahsante Serikali kwa kuliweka wazi hilo.
Kila siku FF unazunguka mbuyu, tueleze nawe ulivyodhulumiwa tukupe hug la pole.
 
FF umenena vema, ila nilitegemea kwenye hitimisho useme hili swala la kudhulumu raia liendelezwe kwa mafisadi kama wale wa EPA, Richmond na ESCROW.

Angalizo: Sijataja jina la mtu.
 
Yani we ki bibi ukilala ukiamka unawaza umdhalilishe vipi hayati Mwalimu Nyerere. Dini yako inakusaidia nini kama huheshimu hata marehemu. Chuki haishi hata kwa mtu aliyefariki. Halafu we ni mwana ccm wa vipi ambae kucha kutwa ni kumuandama kwa kumdhalilisha muasisi wa ccm. Udini unakuondolea utu. Issue iliypo ccm sasa hivi ni mnyukano wa akina Lowasa, Membe, Sita na utitiri wa watangaza nia.
 
Watetezi wa CCM wengi wa humu JF, si watetezi wa CCM kwa kuwa ni chama wanachokipenda. Ni watetezi wa CCM ya sasa kwa kuwa kiongozi wa CCM wa sasa ni muislamu. Hao hao hawaishi kuanzisha nyuzi zinazoonesha kuwa CCM wakati wa Nyerere na Mkapa ilikuwa mbaya.

Bahati nzuri, watetezi hao hao wa CCM inayoongozwa na muislamu, ndio pia watetezi wa Zitto Kabwe. Na wakati Zitto bado yuko CHADEMA walikuwa wanakesha humu wakiwachafua viongozi wengine wa CHADEMA. Sasa hivi hao hao ni watetezi wa ACT Tanzania. Mfano ni akina Ritz, ZeMarcopolo, CHAMVIGA, HAMY-D, Musa allan,

Ukweli ni kwamba hapa hamna siasa hapa, hapa ni dini na ku promote viongozi wa dini zao, wakati huo huo kuchafua wengine, na Zitto anafurahia siasa za namna hii.

Hawa wamefanikiwa kulaghai wengi humu JF kuwa Zitto anaonewa, wakati ajenda ni dini tu. Hao ndio walioanzisha dhana ya ubaguzi wa dini na kanda, with zitto support (kwa kuwa alikuwa hawakani)

Huo ni ukweli, na ndivyo ilivyo. Na thread hii ni ushahidi.

Baadhi ya wana CCM hudhani wanatetea chama na wanajiunga na Faizafoxy, kumbe wanamsaidia kumtetea mtu anayeswali naye, watakapogundua.....

Ukiyacopy haya na Kupaste tena, ukahariri majina yanashabihiana kila kitu. Sisi Watanzania ni wanafiki sana linapokuja suala la udini. Sijapata msikia Mkristo shabiki maandazi akimsifia Mwinyi wala Kikwete na Sijawahi msikia Muislam shabiki maandazi akimsifia Nyerere wala Mkapa. Kusema kwetu hakuwezo ibadili hali hii iliyopo. Sasa yamepoa. tusubiri Wagombea wateuliwe udini na maono yaingie kazini. Kuukana Udini Tanzania ni unafiki. Tutafute njia sahihi ya Amani ya kuuondoa na kurudi kwenye Misingi.
 
Natamani sana kila aliyedhulumiwa apate haki yake na dhuluma nuingine zisiruhusiwe kuendelea. Wasiwawi wangu mmoja tu, process ya kuwalipa hawa waliodhulumiwa isije ikawa dhuluma kwa watanzania wa sasa hivi na miaka miwili ijayo tunajipata hapa hapa jf tukijadili scandal katika malipo ya fidia zawaliodhulumiwa. Fake people and names might be used, compensation amounts inflated this could be another scandal in the making.

Dhulumma za Escrow, EPA, Kagoda and the likes ambazo zipo dhahiri na tumedhulumiwa watanzania wote sijui zitalipwa lini?
Ndiyo maana hawataachia nchi kirahisi maana malipo yake wanayajua. Ndiyo hizo hela wanatukania watu mitaani na kujibu ovyo.
 
Huna jipya, ni chuki yako kwa Mwalimu Nyerere (R.I.P Mwalimu);
Na mahaba yako ya dini ndivyo unavyovichambua hapa.

Mtani anachosema FaizaFoxy ni kweli,kuna waliokufa na walinyimwa HAKI zao kwa kisingizio cha kuwarudisha kazini,wakati hayo mashirika yalishafungwa siku nyingi.

Kuna waliowekwa JELA bila hata kuhukumiwa zaidi ya miaka kumi wamekuja kuhukumiwa Tanzania iliposaini Mkataba wa HAKI za binadamu ndipo walipotolewa na kushtakiwa na karibu wote walikuwa hawana hatia,kwani walikuwa wamehujumu huo UCHUMI walikuwa Wakurugenzi na mameneja wa mashirika ambao wao waliwapoint wafanyakazi wa kawaida kuwa ndiyo wahusika..........

Kwa familia zilizoathirika inaumiza sana ,wengi wao walikufa mapema sana kwa magonjwa ya Ini,figo nk pia nadhani sababu ya stress na depression....

Na baadhi baada ya kulazimishwa kurudi kazini na mashirika yalishafungwa waliamua kuacha kudai na kurudi makwao.Inasikitisha.
 
Watetezi wa CCM wengi wa humu JF, si watetezi wa CCM kwa kuwa ni chama wanachokipenda. Ni watetezi wa CCM ya sasa kwa kuwa kiongozi wa CCM wa sasa ni muislamu. Hao hao hawaishi kuanzisha nyuzi zinazoonesha kuwa CCM wakati wa Nyerere na Mkapa ilikuwa mbaya.

Bahati nzuri, watetezi hao hao wa CCM inayoongozwa na muislamu, ndio pia watetezi wa Zitto Kabwe. Na wakati Zitto bado yuko CHADEMA walikuwa wanakesha humu wakiwachafua viongozi wengine wa CHADEMA. Sasa hivi hao hao ni watetezi wa ACT Tanzania. Mfano ni akina Ritz, ZeMarcopolo, CHAMVIGA, HAMY-D, @mussa allan,

Ukweli ni kwamba hapa hamna siasa hapa, hapa ni dini na ku promote viongozi wa dini zao, wakati huo huo kuchafua wengine, na Zitto anafurahia siasa za namna hii.

Hawa wamefanikiwa kulaghai wengi humu JF kuwa Zitto anaonewa, wakati ajenda ni dini tu. Hao ndio walioanzisha dhana ya ubaguzi wa dini na kanda, with zitto support (kwa kuwa alikuwa hawakani)

Huo ni ukweli, na ndivyo ilivyo. Na thread hii ni ushahidi.

Baadhi ya wana CCM hudhani wanatetea chama na wanajiunga na Faizafoxy, kumbe wanamsaidia kumtetea mtu anayeswali naye, watakapogundua.....

Ukiyacopy haya na Kupaste tena, ukahariri majina yanashabihiana kila kitu. Sisi Watanzania ni wanafiki sana linapokuja suala la udini. Sijapata msikia Mkristo shabiki maandazi akimsifia Mwinyi wala Kikwete na Sijawahi msikia Muislam shabiki maandazi akimsifia Nyerere wala Mkapa. Kusema kwetu hakuwezo ibadili hali hii iliyopo. Sasa yamepoa. tusubiri Wagombea wateuliwe udini na maono yaingie kazini. Kuukana Udini Tanzania ni unafiki. Tutafute njia sahihi ya Amani ya kuuondoa na kurudi kwenye Misingi.
Exactly! Tutafute njia sahihi. Tukatae udini.
 
Huna jipya, ni chuki yako kwa Mwalimu Nyerere (R.I.P Mwalimu);
Na mahaba yako ya dini ndivyo unavyovichambua hapa.

Na huyo waziri aliyeyasema hayo bungeni na yeye ana chuki na Nyerere? na huyo mbunge aliyeuliza swali na yeye ana chuki na Nyerere? Fikiri kabla hujaanza kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Mkiwa hamna hoja mnakimbilia "udini" hiyo ndio mnafikiri kuwa ni ngao yenu lakini ujumbe umewafikia tena si wangu, bungeni live.

Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
 
Back
Top Bottom