tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,198
- 27,821
samahani jamani,huko mirembe mmewahesabu vizuri wapo wote?isijekuwa kuna mmoja kachoropoka yuko huku anapiga bla bla,wanafiki utawajua tu.leo hii miaka kadhaa ndo wanajifanya kukiri bungeni,ili waonekane wema kwa watu.mbona hawakiri epa,escro,meremeta,kagoda etc?kwanini wasikiri kuwa wizi wao umesababisha watanzania wanaishi kwa tabu?
Jee, UKAWA ikitokea bahati mbaya mkachukuwa nchi mtaendeleza hili la kurudishia watu mali zao walizodhulumiwa?
Kuchukua nchi kwa UKAWA au opposition kamwe haiwezi kuwa ni BAHATI MBAYA kwanza uelewe hivyo. Kuna nchi kibao zilibadili uongozi ili kuleta mabadiliko,na hiyo ndo hulka ya binadamu. Sometimes binadamu jambo moja hilo hilo huwa linamkinai(kuchoshwa sijui lugha sahihi hapo),lakini ni katika kubadili ladha ya jambo, na hivyo haiwez kuwa ni bahati mbaya kamwe!
Dada FF ukiwa na vazi moja la kaniki kwa miaka kadhaa,ukiichoka na kuamua kununua kitenge cha wax nk haiwez kusemwa umenunua kitenge kwa bahati mbaya.
Nikija kuhusu uzi wako,basi iundwe tume ya maridhiano na usuluhishi ili kila aliyedhulumiwa nchi hii apate haki yake halali!
kwa hiyo bi mkubwa unataka kutuamisnisha kwamba Mwalimu Nyerere, mwasisi wa chama chako chako cha CCM aliwadhurumu watu mali zao ama? sasa bado unasubiri nini kwenye hicho chama cha DHURUMA, si uhamiye UKAWA? mpuuzi mkubwa wewe!!!!!!!!!!!!!!!!
Serikali hii ya awamu ya nne ndiyo hasa imeweka dhuluma kupitia kodi za kero na zisizolipika kama kipaumbele chake. Nitatoa mifano michache:Hilo nalo neno, tunataka nchi isiyodhulumu raia wake, na ikiwa leo wamekiri hili nililoandika nadhani na hayo uyaletayo ukiyawakilisha kwa mbunge wako kwa ushahidi kama alivyofanya huyo aliyetetewa na mbunge wake leo bungeni utakuwa umefanya la maana sana katika kupigania haki.
Hata waliodhurumiwa uhai walipwe tu,2001 Tanzania Visiwani,Akina Mwangosi waliouawa Kimya kimya Mtwara kwenye gesi,Wamasai huko Loriondo wote hawa wafidiwe tu,bila kuangalia dhuruma ilitokea muda ganiJee, UKAWA ikitokea bahati mbaya mkachukuwa nchi mtaendeleza hili la kurudishia watu mali zao walizodhulumiwa?
Hii inaonyesha dhuruma chini ya utawala wa CCM haijaanza leo na bila kuing'oa CCM dhuruma haitaisha kwa sababu ilishakwepo na ipo ndani ya chama.Huyo Mbunge ilibidi amalizie kwa kusema CCM itoke ili dhuruma ikomeHakuna langu hapo, hayo ni bungeni. Jisomee wewe halafu uamini upendacho, mimi sina haja ya kukuaminisha kitu.Amini upendacho, upo huru, lakini hayo ndiyo yaliyojiri bungeni na serikali imekiri wakati huo wa uhujumu uchumi watu walidhulumiwa. Wakati ho wa Uhujumu uchumi ulikuwa wa kiongozi yupi? Rais nani? na Waziri Mkuu nani?
Hii inaonyesha dhuruma chini ya utawala wa CCM haijaanza leo na bila kuing'oa CCM dhuruma haitaisha kwa sababu ilishakwepo na ipo ndani ya chama.Huyo Mbunge ilibidi amalizie kwa kusema CCM itoke ili dhuruma ikome
Hata waliodhurumiwa uhai walipwe tu,2001 Tanzania Visiwani,Akina Mwangosi waliouawa Kimya kimya Mtwara kwenye gesi,Wamasai huko Loriondo wote hawa wafidiwe tu,bila kuangalia dhuruma ilitokea muda gani
Asante kwa.kunisahihisaha,Kutangaza tu haitoshi.Hii CCM ni janga la taifa just imagine toka Enzi za Nyerere wakati anatekeleza ilani ya CCM ilitokea dhuluma mpaka leo bado.Nasema tena kutangaza tu haitoshi kinachotakiwa ni utekelezaji.Wanaodhulumiwa wapo wengi ila hawana pa kusemea sababu ya unyonge wao.= dhuluma / dhulmaKikwete alishatangaza wakati anaongea na wazee wa Dar, hatodhulumiwa mtu.Na hii siyo mbunge anaekiri kuwa Serikali wakati wa "uhujumu uchumi (Nyerere na Sokoine) ilidhulumu, ni waziri anaekiri hilo, soma vizuri mada. Mbunge alikuwa anamtetea mwananchi wa jimboni kwake.
Serikali hii ya awamu ya nne ndiyo hasa imeweka dhuluma kupitia kodi za kero na zisizolipika kama kipaumbele chake. Nitatoa mifano michache:
1.Kupandisha Motor vehicle licence kutoka elfu 20 hadi laki 3 kwa mwaka
2.kuongeza gharama za fire tingisha kutoka elfu 5 hadi elfu 50 bila sababu yoyote
3. Land rent imeongezwa hadi 300% bila sababu yoyote ya msingi
4. Kunyanganya watu ardhi yao na kuwapa wawekezaji bila fidia au kwa fidia mbuzi
5. kutowalipa wafanyakazi salaries increaments au pesa za likizo
7. kuwabambika wafanya biashara kodi kubwa zaidi ya ile wangetakiwa kulipa kwa kiwango cha mitaji yao
8.kuwauzia wafanya biashara EFDs za elfu 30 kwa laki 8
9. kulipa wafanyakazi mishahara mbuzi
10. Kudhulumu haki ya watu kuandamana, kuchagua wanayempenda
11. etc
Jikite kwenye mantiki,usihamishe mjadala kwa R na L.Hata hivyo napokea masahihisho yako= waliodhulumiwa= LoliondoHivi una matatizo yepi na hizo "R" na "L"?Hiyo shule ulienda kusomea ujinga?
Hapa mada ni ipi Dhulma au Nyerere na Sokoine?Umeshasema kodi. Sasa kama unaona kodi ni kubwa mwambie mbunge wako akatetee kama alivyofanya huyo mbunge, soma post namba moja, alivyo mtetea mpiga kura wake.Hilo namba 3 Land Rent leo zimeshushwa na Waziri Lukuvi.Mada ya hapa ni waliodhulimwa wakato wa uhujumu uchumi, haiongelewi kodi hapa, ukitaka kuongelea kodi funguwa nyuzi tutakuja kujadili. Kumbuka hilo.Jee, huoni kuwa Serikali imefanya la maana kukiri kuwa wakati wa uhujumu uchumi (Nyerere na Sokoine) kweli watu walidhulumiwa? Na jee, huoni kuwa haina haja ya kuweka limit ya watu kupeleka madai yao? Na pia hauoni kuwa wako waliodhulumiwa wakati wa Azimio la Arusha na wengi wameshindwa kudai kwani Mwinyi aliporuhusu wakadai wengi muda ulikwisha kabla ya kupata hata fursa ya kupata habari kuwa wanaweza kudai mali walizodhulumiwa.Hebu jitahidi tusichanganye mada, dhulma zipo nyingi sana lakini hapa tujikite kwenye hizo za uhujumu uchumi na azimio la Arusha.
Asante kwa.kunisahihisaha,Kutangaza tu haitoshi.Hii CCM ni janga la taifa just imagine toka Enzi za Nyerere wakati anatekeleza ilani ya CCM ilitokea dhuluma mpaka leo bado.Nasema tena kutangaza tu haitoshi kinachotakiwa ni utekelezaji.Wanaodhulumiwa wapo wengi ila hawana pa kusemea sababu ya unyonge wao.
Uko sahihi. Tuko pamoja. Lakini ujumbe wangu angalau umefika.Umeshasema kodi. Sasa kama unaona kodi ni kubwa mwambie mbunge wako akatetee kama alivyofanya huyo mbunge, soma post namba moja, alivyo mtetea mpiga kura wake.
Hilo namba 3 Land Rent leo zimeshushwa na Waziri Lukuvi.
Mada ya hapa ni waliodhulimwa wakato wa uhujumu uchumi, haiongelewi kodi hapa, ukitaka kuongelea kodi funguwa nyuzi tutakuja kujadili. Kumbuka hilo.
Jee, huoni kuwa Serikali imefanya la maana kukiri kuwa wakati wa uhujumu uchumi (Nyerere na Sokoine) kweli watu walidhulumiwa? Na jee, huoni kuwa haina haja ya kuweka limit ya watu kupeleka madai yao? Na pia hauoni kuwa wako waliodhulumiwa wakati wa Azimio la Arusha na wengi wameshindwa kudai kwani Mwinyi aliporuhusu wakadai wengi muda ulikwisha kabla ya kupata hata fursa ya kupata habari kuwa wanaweza kudai mali walizodhulumiwa.
Hebu jitahidi tusichanganye mada, dhulma zipo nyingi sana lakini hapa tujikite kwenye hizo za uhujumu uchumi na azimio la Arusha.
Hapa mada ni ipi Dhulma au Nyerere na Sokoine?
Uko sahihi. Tuko pamoja. Lakini ujumbe wangu angalau umefika.