Viongozi walikuwa lazima walikuwa watekeleza Ilani ya CCM,sidhani kama walikuwa NLD? Nadhani mdau alitaka kusema hiyo dhulma isiishie huko tu kwenye uhujumu uchumi ije hata kwenye dhulma za Sasa isije ikatokea watawala wa sasa wakafa baada ya miaka arobaini au ishirini watu waanze kulalamika kuwa walidhulmiwaSoma post namba moja halafu wewe jibu upendalo lililopo kwenye hiyo post. Waliodhulumiwa wakati wa uhujumu uchumi, Viongozi wakati huo walikuwa akina nani? labda wewe unawajuwa zaidi utujuze.
Nilikuwa nafikiri we ni perfect 100% kumbe nawe shule ulienda kusomea ujinga= jambo
Nilikuwa nafikiri we ni perfect 100% kumbe nawe shule ulienda kusomea ujinga
Hilo lako ni ukosefu wa umakini,yaani hakuna proof reading.Huo ni ujinga pia kutuma kazi bila kuhakikiKuna typo na kuna kukosea "R" na "L" kama ulivyofanya wewe huko juu, tatizo lako ni kubwa sana Tanzania, nnajuwa sababu shule ulienda kusomea ujinga na si tatizo la typo.
Hilo lako ni ukosefu wa umakini,yaani hakuna proof reading.Huo ni ujinga pia kutuma kazi bila kuhakiki
Nitaisifu serikali siku wakipata haki yao sio siku ya ahadi tulishazichoka hizo ahadi.Sawa kabisa wala hujakosea. Sasa hebu nieleze, unaonaje hili:Kwanza nnaisifu sana Serikali ya awamu hii kwa kukiri hilo bungeni "live" kuwa kweli kuna dhuluma ilitendeka. Kwa hakika Serikali kukiri hilo kosa ni ujasiri mkubwa sana na ni njia nzuri sana ya wananchi waliodhulumiwa kuweza kurudisha imani kwa Serikali yao na sasa wapokelewe na kurudishiwa mali zao na kusiwe na hili suala la kuchelewa.
Nitaisifu serikali siku wakipata haki yao sio siku ya ahadi tulishazichoka hizo ahadi.
Hakuna mtu anayefurahia dhulmaWapo waliokwisha lipwa, ndiyo maana nikakwambia kwenye post namba moja, pitia hansard kwa kuyaelewa zaidi.Jee, na hilo la watu kudhulumiwa wakati wa uhujumu uchumi (Nyerere na Sokoine) unalilaani au kwako ni sawa tu?
Naam, hata ichukuwe miaka migapi, dhulma hailipi, na kilichoafanyika bungeni ni kitendo cha kijasiri sana kwa waziri kukiri hilo. Ansatahiki sifa.
Jee, wewe huoni kuwa ni kitu chema?
Sasa mimi na Nyerere inahusu nini wakati hilo jambo limeongelewa bungeni?
Hivi unaelewa unachokisoma?
SIO BAHATI MBAYA KWA ALIYE NA NIA YA KUONDOA DHURUMA ukawa kuchukua nchi.!Jee, UKAWA ikitokea bahati mbaya mkachukuwa nchi mtaendeleza hili la kurudishia watu mali zao walizodhulumiwa?
SIO BAHATI MBAYA KWA ALIYE NA NIA YA KUONDOA DHURUMA ukawa kuchukua nchi.!
na kura yako tunaitaka UKAWA na kwa sababu hatuungi mkono dhuruma, kila aliyeathirika na hili should be promptly and fairly compasated the same regardless who are you! Lete kura yako ukawa na kwa kuwa dhuruma zilifanya na ccm they should be answerable and liable regardless time bared!
Kuna dhuruma Kwa waliokuwa watumishi. Waliodhurumiwa na serikali kwa kuwaondoa ktk ajira ghafla Kwa ujira kidogo na kuwatelekeza. Hili ilikuwa wakati wa maboresho ya serikali za mitaa na serikali kuu.Walikuja na operation iliyokuwa na jina retrenchment. Kukafuatia na kuanzishwa kwa idara za serikali kuwa wakala. Malaki ya watumishi waliondolewa ktk ajira zao bila hiari zao na bila malipo mazuri. Waliokuwa Kwa mkataba wa kudumu wakaingzwa ktk mfumo wa kulipwa pesheni ambapo hadi sasa wanalipwa kutoka hazina pesa kiduchu zsizo endana na maisha pamoja na uzee wao.
Sidhani kama kuna anayepinga sana usemacho bali dhamira yako iliyofichika. Hii serekali unayoisifia leo ndio imeingia madarakani? Wazee wa A. Mashariki si walikuwa wanapigwa na serekalj hiihii kisa madai yao? Mwaka huu wa uchaguzi wabunge wote wa ccm wanaongea kama wa upinzani, serekali inajifanya malaika kwa umma. Bado unadhani watu ni wajinga mama? Mahakama iliamua kuwe na mgombea binafsi serekali ikagoma, je leo iko tayari kutekeleza? Unafiki kwa umri huo haupendezi.
Hakuna mtu anayefurahia dhulma
Jee, UKAWA ikitokea bahati mbaya mkachukuwa nchi mtaendeleza hili la kurudishia watu mali zao walizodhulumiwa?